oxygen

  1. dosho12

    Uvumbuzi wa Dark Oxygen

    Toka miaka ya 1700s tumekuwa tukifundishwa ya kuwa mwanga wa jua unatengeneza hewa ya oxygen kupitia photosynthesis, mfumo muhimu wa kiasilia unaofanya maisha ya dunia kuendelea kuwepo, mimea kama algae na baadhi ya backteria hufyonza mwanga wa jua na kubadilisha carbondioxide na maji kuwa...
  2. Komeo Lachuma

    Watanzania wanahitaji zaidi Akili kuliko Oxygen

    Watanzania wana ukosefu wa akili. Hili ni tatizo kubwa sana. Utaona wanawaza Simba na Yanga tu. Hawana jambo lingine la maana. Yanga kupoteza match ya jana imekuwa issue kubwa sana.mjadala kila sehemu. Kama ilivyokuwa kwa Simba. Utashangaa hawa watanzania hawajui Wabunge wao hawapo Bungeni. Na...
  3. A

    KERO Dada yangu amefariki kwa kuishiwa Oxygen baada ya Muhimbili kufosi kumpeleka Mloganzila

    Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es Salaam. Wakati tunaelekea Muhimbili tukapita Hindu Mandal kwa kuwa kuna Daktari ambaye pia...
  4. V

    INAUZWA Nauza oxygen concentrator litre 10

    Nauza Oxygen Concentrator Litre 10 kwa matumizi binafsi au ya hospitali. Bei 2 Mil, Maongezi yako. Nitafute kwa namba 0744117116, napatikana Dar mkoani natuma
  5. ndege JOHN

    Kwenye ndege mnavuta oxygen kutoka wapi wakati ndege inaruka layer ya stratosphere kusiko na hewa

    Nielimisheni hii kitu sote tunajua tunaishi layer ya trotosphere 0-20 km na ndo kwenye hewa nzuri ya oxygen. Ndege za abiria zinakwenda stratosphere sasa ndege inatumia mfumo gani mpaka mnavuta hewa kawaida kama mpo chini huku. Je kuna mitungi ya oxygen inayozalisha na kuwasambazia? Huu...
  6. Pang Fung Mi

    Kila mwanamke utakayemtongoza ni sekunde tu, huu upepo usiishie hii December

    Ni mrejesho tu kwa sisi wapambanaji huu mwezi sijui wanawake wamepata upako gani kila utakaemtongoza ni mapema sana imo, ni kama kuna upako umewapitia ukiacha kutoa namba unatafutwa na kuulizwa kwa hio nije wapi, utaniita lini au nije lini. Kuna pisi ambazo zilikuwa na nyoto utadhani ni mithili...
  7. K

    Naomba uzoefu wenu kuhusu biashara ya uwakala wa mitungi ya gesi za kuchomelea, acetylene n.k

    Mimi ni muuza Gesi za majumbani LPG Nilikuwa napenda kufahamu namna ya kupata Uwakala wa gesi za kuchomelea (nazikuta sana Gereji za magari) na nyinginezo kama zile (yani Acetlyene, oxygen) na mwenendo mzima wa biashara hyo. Katika kuangalia nimeona kuna kampuni kama tatu yani TOL, SALAMA na...
  8. Mparee2

    NHIF itangaze kama inatoa huduma ya mitungi ya gas (oxygen)

    Kutokana na ongezeko la mahitaji ya gasi ya Oxygen yaliyojitokeza hivi karibuni umekuwa na mkanganyiko mkubwa wa huduma hasa hiyo gas ya oxygen inayotumika kwa wingi Ukiangalia kwenye matangazo ya NHIF yanasema hiyo gasi inatolewa Bure. Ila kiuhalisia hiyo gasi inauzwa kwa hospitali za serikali...
  9. Shujaa Mwendazake

    Mitungi ya Oxygen yawasili Bugando; tusichoke kupaza sauti kuishauri, kuipongeza na kuikosoa Serikali

    Hapo ni Bugando hospital,imeonekana mitungi inayosemekana ni ya Oksijen ikishushwa. Ikumbukwe wiki hii nzima kumekuwa na kelele nyingi mitandaoni kuhusiana na ukosefu wa au upungufu wa mitungi hiyo katika hospitali hii na nyinginezo. Ni imani yetu Serikali imelisikia hilo na kulitatua haraka...
  10. TheDreamer Thebeliever

    #COVID19 Hospitali ya Bugando yakumbwa na upungufu wa mitungi ya Oksijeni kwa Wagonjwa wa Kupumua

    Habari wadau. Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen. Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka. Mpaka sasa Bugando Hospital wanaupungufu wa mitungi 500 ya oxygen. Huku mtaani kwetu Buza sioni kabisa...
  11. TheDreamer Thebeliever

    #COVID19 Covid-19: Uganda wakabiliwa na upungufu wa mitungi ya Oxygen, jeshi laanza kuzalisha

    Habari wadau! Jana nimefuatilia habari kwenye chombo kimoja hapa TZ kimereport upungufu wa mitungi ya oxygen katika hospital kuu za Uganda kutokana na wimbi kubwa la wagonjwa wa Uviko 19. Je, sijuhi hapa kwetu tumejiandaaje kuwapa msaada ndugu zetu UG na sisi binafsi kujikinga na wimbi la...
Back
Top Bottom