P Diddy Amezidiwa Utajiri Na Jay Z Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Wawe Matajiri Lazima Waende Kwake, Lakini Pia P Diddy Amezidiwa Tuzo Za Grammy Na Jay Z 24 Kwa 3 Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Washinde Grammy Lazima Waende Kwa P Diddy 😂😂😂😂 Au Ndio Mganga Hajigangi 😂😂😂
Diddy ni nani na anatuhumiwa nini?
Sean "Diddy" Combs kwenye hafla ya Met Gala ya 2017 huko New York
4 Oktoba 2024
Ni nguli wa muziki aliyefanikiwa sana, Sean "Diddy" Combs, lakini sasa anakabiliwa na msururu wa tuhuma za unyanyasaji wa kingono ambazo zinaweza kuhitimisha kazi yake ya miongo...
Wakuu kuna wimbo nakutana nao TikTok na X ukiwa na sauti ya Justine Bieber akieleza namna alivyonynyaswa na P. Diddy alipoenda kwenye party ikamgharimu.
Kuna ukweli hapa. Wimbo huu hapa chini:
Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual slaves..
Kuna Intervieww aliwahi kuifanya msanii wa Tanzania (Diamond) Akisema walikwenda Kwa...
Sean John Combs (anajulikana kwa jina lake la kisanii Diddy,; amezaliwa 4 Novemba 1969)[1] ni Mmarekani mtayarishaji wa rekodi, rapa (mwimbaji), mwigizaji, mtengenezaji wa nguo za kiume, mjasiriamali na mchezaji ngoma shupavu.
Jina la kuzaliwa
Sean John Combs
Amezaliwa
4 Novemba 1969 (umri 54)...
Tarehe 16-09-2024 SEAN LOVE COMBS maarufu kama P DIDDY alikamatwa huko MANHATTAN jijini NEW YORK akihusishwa na makosa kadhaa ambayo ni kumiliki kundi kubwa la uharifu kusafirisha wanawake kingono Na kufanya biashara haramu.
Ila ajabu P DIDDY alipofika mahakamani alisimama na kupinga waziwazi...
50 Cent anasema siku ya kwanza alipogundua uchafu wa P. Diddy ilikua kwenye studio za tv, wakiwa katika live interview kwenye tv P. Diddy alimwambia 50 Cent, "50 nataka nikutoe out siku 1 nkufanyie shopping unaonaje ofa hiyo bro?"
50 Cent anasema alishtuka na kujibu pale pale kwa hasira, "Huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.