pablo blanco

  1. Kocha Pablo apewe Simba kwa muda mrefu

    Hii ni kwa viongozi wa SIMBA. Nimeangalia style ya simba nimegundua kuwa PABLO ni kocha mzuri. Aliikuta wachezaji wakicheza individual na sio team work. Taratibu naona simba wanavyocheza pasi na soka la haraka. Simba hapo ilipo inahitaji tu aina fulani wa wachezaji then aweze kuwaunganisha...
  2. Wanaohitaji fuel dispenser na spear zake tukutane hapa

    Kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru uongozi wa jamii forum. KB logistics company ltd tumewaletea huduma kwa karibu na haraka zaidi hasa wale wanaomiliki petrol station na wale wenye hobi ya kufanya biashara ya mafuta. Fuel dispenser zetu ni: Type: Tokheim changlong Flow rate...
  3. Wanaopinga kuungama dhambi kwa Padri, ndio wapinga Kristo wanaohubiriwa na wasabato na ndio wale wanaosoma maandiko kwa kurukaruka.

    Ninakiri kwamba nimekutana na uzi wa mwana-JF, “King Mufasa” leo ukihoji uaminifu walio nao mapadri wa Kanisa Katoliki,mintarafu utunzaji wa siri za mambo yanayojiri wakati sakramenti ya Upatanisho. Kimsingi ukisoma katikati ya mistari ya mtoa uzi, utagundua kwamba mtoa mada ni Mkatoliki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…