Wakuu nimesikia tetesi kwamba Kocha wa 2020 - 2021 Pablo Flanko Martine yupo Tanzania. Pablo alikuwa akizira zira, alikuwa akigombana na akina Wawa, anapigapiga Machupa, hajawahi kuwa na ubingwa wowote. Na limpira lake la kukimbia kimbia.
Kuna tetesi kwamba huenda akamalizana na Uongozi wa...