Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kasoro kadhaa katika utekelezaji wa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, jijini Dodoma, zikiwemo ajira kwa wahandisi wasiosajiliwa, ujenzi bila vibali, ongezeko la gharama, na ucheleweshaji wa malipo.
Mwenyekiti wa PAC...
Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma umeendelea kuonyesha maendeleo makubwa, huku kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikieleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa hadi sasa. PAC imeitaka serikali na wakandarasi kuhakikisha mradi huu unakamilika haraka lakini pia...
Ukaguzi wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini jumla ya Magari ya Serikali 547 yalikuwa yameegeshwa kwenye Karakana za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na katika baadhi ya Taasisi za Serikali
Aidha, baadhi ya magari yaliyotelekezwa hayakuwa kwenye mipango ya...
Dodoma, Dodoma
Kamati ya Bunge ya kudumu ya Mahesabu ya Serikali yaani PAC imeeleza kuridhishwa na kazi zinazofanywa na menejimenti ya Serikali Mtandao wakati walipodhuru kituo cha Ubunifu na Uendelezaji Vipaji jijini Dodoma. Wakizungumza baada ya kukagua kazi zinazofanywa na kituo hicho...
“Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK”. Halima Mdee.
Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imezitimua kwenye kikao taasisi mbili zilizoko chini ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi baada ya maofisa masuhuli kushindwa kufika kwenye kikao hicho.
Taasisi hizo ni Wakala wa Barabara Nchini (Tanroad) na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege...
1. UTANGULIZI
Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC zinawasilishwa bungeni baada ya kufanya uchambuzi wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya Mwaka 2008 inayofafanua...
Ukaguzi uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini HESLB iliwapa Mikopo Wanafunzi ambao hawakuwa Vyuo Vikuu kwa maelekezo ya Serikali.
Pia, PAC imesema kati ya 2018/19 wanafunzi 2,852 walipangiwa mikopo chini ya kiwango kwa upungufu wa Tsh. Bilioni 1.14 huku Tsh. Bilioni...
ACT wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wakati Chadema na Cuf sana mbunge mmoja mmoja.
Kwa sasa Chadema inaongoza PAC na kule LAAC ina makamu Wote kutoka Covid 19.
Ina maana wabunge wa viti maalumu Chadema wana uwezo mkubwa kuliko vile vidume vya ACT wazalendo?!
Air Tanzania among entities that borrowed money without approval, says PAC
THURSDAY OCTOBER 21 2021
Summary
Another institution named by PAC is the Arusha International Conference Center (AICC).
By The Citizen Reporter
More by this Author
Dodoma. Air Tanzania Company Limited (ATCL, is...
Katika kuthibitisha kile ambacho wanasiasa wa upinzani na wananchi kwa ujumla wamekuwa wakikipigia kelele siku zote na serikali kujifanya kiziwi haitaki kusikia, makamu mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Bunge, Japhet Hasunga, ametoa tamko rasmi kwamba shirika la ndege la Tanzania ATCL liko...
Spika wa bunge ameyashangaa mashirika makubwa nchini kama Tanesco, TRC, Muhimbili, MOI na Posta kushindwa kuwasilisha mahesabu yao kwa CAG.
Ndugai ameitaka kamati ya bunge ya mashirika ya umma PAC kuwaita watendaji wa mashirika hayo na ikiwezekana wataishauri serikali ivunje bodo za mashirika...
CAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea.
Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea taasisi zenye hati chafu na zile ambazo CAG ameshindwa kutoa hati ( disclaimer) au zile ambazo CAG...
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na wabunge 19 wa viti maalumu.
Nichukue nafasi hii kuwapongeza CHADEMA kwa...
Spika wa Bunge, Job Ndugai Januari 18 amefanya utuezi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge 17, huku pia wenyeviti wa kamati hizo wakitajwa, wakiwemo baadhi ya wabunge waliofukuzwa uanachama wa Chadema.
Miongoni mwa wabunge waliotajwa ni Naghenjwa Kaboyoka aliyetetea uenyekiti wa Kamati ya...
Wanabodi
Anza na kumsikiliza
Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...
Mkurugenzi mkuu wa NSSF, Godius Kahyayara amesema mradi huo umeshatekelezwa katika awamu mbili
Dar es salaam. Mvutano wa hisa kati ya Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya Azimio, umeelezwa kuwa chanzo cha kuchelewa kwa mradi wa nyumba zaidi 7,000 zilizopo eneo la Dege Beach...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.