padre

The Partnership for Acid Drainage Remediation (PADRE) is a European-based scientific-technical association dedicated to acid mine water related topics.

View More On Wikipedia.org
  1. Padre Josephat Jackson Bududu ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Tabora

    BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ .
  2. PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

    === Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini. Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
  3. Pre GE2025 Kuna vita ya chinichini inaendelea dhidi ya viongozi wa dini wanaokosoa Serikali

    Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
  4. "Kutoka kwa Mwito hadi Uteuzi: Safari ya Padre Katika Imani na Huduma"

    πŸ‘‰πŸΎSafari ya kuwa padre ni mchakato wa kiroho na kihistoria unaohitaji kujitolea, imani, na mafunzo ya kina. Kuanzia mwito wa ndani hadi uteuzi rasmi, kila hatua inajumuisha changamoto za kiroho, masomo ya teolojia, na mafunzo ya uongozi. Padre si tu kiongozi wa ibada, bali pia mwelekeo wa roho...
  5. Kwenye matembezi ya kuombea Aman leo Arusha mbona sijaona padre yeyote? Je mapdre hawakualikwa?

    Amani kwenu watumishi Leo kwenye matembezi ya Aman kule Arusha yalikuwa yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha yalishilikisha viongozi wa dini, lakin cha ajabu katika matembezi hayo sijamuona askof wa Arusha wala Padre kutoka kigango chochote kile Au mapdre hawakualikwa ? Uzi huu...
  6. Kuungama dhambi mbele ya Padre, unaripotiwa polisi?

    Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version) Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni...
  7. Dk Philip mpango ulizamilia kweli kuwa padre au ulikuwaga unatania tu?

    Aman iwe nanyi wana MUNGU Kwetu sisi wakatoliki ndoto kubwa kabisa kuliko zote ni kuwa Padre usalishe Misa Kuna mkatoliki mwenzagu ambaye hata leo sijamuona kanisan pale parokian kwetu Philip mpango et kumbe naye alikuwaga anasomea upadre Ndo huwa najiuliza alikuwaga Sirius au matan tu...
  8. F

    Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

    Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
  9. Dkt. Emmanuel Nchimbi, Mnyika na Tundu Lissu wapandishwa madhabahuni na Padri Dkt. Charles Kitima

    Amani iwe nanyi wana wa MUNGU Leo nikifatilia kongamano la Ekaristi takatifu nimemuona baba Padre Kitima akiwapandisha madhabahuni katibu mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika na Makamu Nwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu. Tuendelee kuliombea amani taifa...
  10. Padre aliesema ubaya ubwela kanisani ahamishwaa

    St Moore mbezi beach leo kulilipuka furaha baada ya padre aliekuwepo kupewa masaa matatu aelekee St Joseph alipewa mda wa kukabidhi funguo. Tu Padre huyu alilalama jpili kaniisa limejaa wazee hawana msaada wowote wako kuchunguzana limeishia wapi ooh zimeliwa ngapi...zimetumika ngapi baadae...
  11. U

    TANZIA: Padre Dkt Fidelis Mgimwa kuzikwa leo jumatatu Julai 29,2024

    Wadau hamjamboni nyote? Tumsifu Yesu Kristo Roho ya Marehemu ilale mahala pema peponi
  12. Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

    Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha kutoa huduma za kichungaji Padri, Elipidius Rwegoshora kufuatia tuhuma zinazomkabili za kuhusika katika mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novart. Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, Jovitus Mwijage ametangaza uamuzi huo kupitia gazeti la...
  13. R

    Baraza la Maaskofu Katoliki lilishirikishwa kwenye hizi taasusi mpya? Padre Kitima tunaomba ufafanuzi wako

    Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya combination. Yeye kama kiongozi wa kiroho na maaskofu wanaona hii ni sahihi? Wao kama viongozi wa dini...
  14. Padre Godfrey Jackson Mwasekaga ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Mbeya

    Baba Mtakatifu Fransisko amemteua mheshimiwa sana Padre Godfrey Jackson Mwasekaga wa Jimbo Kuu katoliki la Mbeya kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Mbeya , leo tarehe 09.03.2024 Mhashamu Askofu mteule Godfrey Jackson Mwasekaga alizaliwa Machi 17 mwaka 1976 Kyela, jimbo kuu Katoliki la Mbeya...
  15. Naanzaje kumshitaki kiongozi wa kanisa kupitia vitengo vyao vya kanisa ikiwa ameninyanyasa, kunipora vitendea kazi na kutishia kuniuwa?

    Habari za majukumu wapendwa,jambo hili linanitesa sana nafsi yangu,limeharibu maisha yangu yote kiujumla,sasa hata kuilea familia yangu yenye mke na watoto wanne imekuwa ni ngumu sana kutokana na kiongozi huyu wa dini kuchukua kitendea kazi changu kikuu katika ofisi yangu(ni mwaka takribani wa...
  16. Mamlaka gani zinawajibika kufanya marekebisho ya barabara za mitaani?

    Salaam Wadau, Nimekuwa nikikutana na barabara mbovu mitaa mingi katika sehemu ninazoishi. Kunaweza kutokea sehemu Kuna dimbwi kubwa au korongo ambalo linaleta changamoto kwa wapitanjia au wenye magari. Kwa mtaa ninaoishi imekuwa busara tu ya wanakikiji kumwaga vifusi au kuweka mawe ili...
  17. Padre Nyenyembe on Francis-Samia agenda on Church-State Cooperation: Will the Pope’s Agenda for Peaceful and Credible Elections Come True in Tanzania?

    Pope Francis posing with President Samia for a photo I. Abstract "Since the Church is present across the different stages of the election process, readers might wonder whether it is permissible in its advocacy to recommend a specific candidate to the Christian faithful. The answer is no. The...
  18. M

    Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?

    Kichwa cha habari chajitosheleza...! Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?
  19. Padre wa Kanisa Katoliki Italia afukuzwa baada ya kuhubiri kwamba Papa Francis ni 'Masonic' na 'Anti-pope'

    Fr. Ramon Guidetti wa Italy amefukuzwa tar 3 January 2024 baada ya kuhubiri kwamba papa francis anakinajisi kiti cha Mtume Petro (anti-pope) na anatimiza matakwa ya wapinga Kristo. Hio ilitokea alipokua anahubiria tarehe 31 December 2023 siku iliokua ni kumbukizi ya kifo cha Papa Benedicto wa...
  20. Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

    Baba mtakatifu Francisco leo tarehe 19.10.2023 amemteua padre Jovitus Fransis Mwijage wa jimbo Katoliki Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo hilo. Ikumbukwe Askofu wa Bukoba aliyekuwepo, Desiderius Rwoma alistaafu kwa mujibu wa sheria za Kanisa kutokana na umri. Pia kwa sasa Jimbo Katoliki Bukoba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…