Nimekutana na hii taarifa iliyotolewa na The Chanzo ikidai kuwa Padri Dkt. Kitima kupitia taasisi yake ya CK ana mradi wa kugawa bidhaa tajwa hapo juu,
Wasiwasi wangu isije kuwa wanamchafua Padri kutokana na maoni ambayo amekuwa akiyatoa katika nyanja za Siasa, Uwajibikaji na Utawala Bora.
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri...