MKUTANO WA PAFMECA MOSHI 1959
Kanirushia ndugu yangu barua hii ya PAFMECA nami nimeiweka hapa sote tufaidi.
Naweka hapo chini kipande kidogo kuhusu PAFMECA kutoka kitabu cha Abdul Sykes:
Pan African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958
''Ilikuwa katika ya mazingira ya namna...