Mazee Nina Pafyumu Sita, ila Nahisi zote Ninapigwa na kitu kizito .
Hazikai muda mrefu kwenye Nguo yaan unapuliza ,harufu sawa inaweza kua nzuriii ya kuvutia lakini hazikai muda mrefu.
Nisaidieni ni wapi na Pafyumu ipi ni Original. Akina Dada wa JF mnaowanunulia Mabwana zenu Pafyumu ...