Baada ya kutambua rasmi juhudi zao za kuitangaza Tanzania kimataifa nje ya mfumo rasmi.
Wakati umefika kutambua utamaduni huu usioyumbishwa na muda au kebehi za wasiojiamini na kuamini katika singeli/ mchiriku/ mnanda .
Wekeni fedha vijana waliojiajiri katika hii entarnmeint industry yenye...
Hapa namzungumzia zaidi Professor Palamagamba Kabudi. Huyu nguli wa sheria amekuwa ni mtu wa kuteuliwa na kutenguliwa au kuhamishwa na kurudishwa alikotoka na kuhamishwa tena kwenda kwingineko.
Professor aliteuliwa kuwa waziri wa sheria kabla ya kuhamishwa na kuteuliwa kuwa waziri wa mambo ya...
Wakuu,
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na mabadiliko ya viongozi hao ni kama...
Palagamagamba Kabudi aliteuliwa [na Rais Samia] kuwa waziri wa sheria na katiba Aprili 2021.
2022 akaondolewa kutoka kwenye hiyo Wizara.
Leo/ jana, huyo Palamagamba Kabudi kateuliwa tena kuwa waziri wa katiba na sheria.
Hivi nyie mnamuelewa kweli huyu Rais tuliyenaye?
Kama Kabudi aliondolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.