July 11, 2019
Bonn, Germany
Waziri Harrison Mwakyembe mwenye dhamana ya kusimamia habari Tanzania katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani DW, ametofautiana na kauli ya waziri wa mambo ya nje ya Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi.
Harrison Mwakyembe amesema hawezi kusema kwa...