pamba fc

Pamba Sports Club is a Tanzanian professional football club based in Mwanza. Established in 1968, the club competes in the Championship.
In 1990, Pamba won the Tanzanian Premier League.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Hii ya GSM Mdhamini wa Yanga SC kutoa Ahadi ya Tsh 100 Milioni kwa Pamba FC inayodhaminiwa nao GSM hao hao ikiifunga Yanga SC inaitwaje Kitaalam?

    Halafu Wanafiki na Wapumbavu aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC aliyeondoka hapa karibuni aliposema Ukweli mkamponda sana huku hadi mkitishia na kumtaka aombe Radhi. Sasa kwa huu Upuuzi wa GSM kwa Pamba FC inayodhaminiwa nao hao hao GSM tukisema yule Kocha wa Yanga SC alikuwa sahihi na ikiwezekana...
  2. Labani og

    Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

    [emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa. Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa...
  3. GENTAMYCINE

    Simba ikishinda leo mbali na nuksi zote zilizotokea tukafanye sherehe kubwa

    Uongozi wa Simba SC nawalaumu sana kwani mlijisahau, kubweteka na kujiamini, badala ya Kujiandaa na Mechi hii muhimu Kwetu Sisi muda wote tukawa tunashangalia Watani zetu Yanga SC kupokea Vipigo viwili mfululizo vya Azam FC na Tabora United. Tulijua tokea Wiki Tatu au Mbili kuwa tunaenda...
  4. Mkalukungone mwamba

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza hajavamia mazoezi ya Simba ni uzushi

    Ofisi ya mkuu wa mkoa Mwanza imesikitishwa na taarifa zilizoenezwa na baadhi ya watu kuwa mkuu wa mkoa Mhe Said Mtanda amevamia mazoezi ya Simba akiwa na polisi na kuwashikili meneja wa timu na kocha msaidizi, Taarifa hizi si sahihi Ukweli ni kuwa mkuu wa mkoa alipokea simu kutoka kwa maafisa...
  5. gonamwitu

    Naiona dalili ya Pamba kupanga matokeo dhidi ya Yanga kwa kumuachia yanga ashinde magoli mengi

    Naiona dalili ya match fixing mapema tu kwenye mechi ya Yanga kesho dhidi ya Pamba jiji na hii inachagizwa na kauli za kipuuzi za viongozi wa pamba kujifanya wanajiweka pembeni kwenye mechi ya kesho eti kisa wao ni mashabiki wa Yanga. "KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO...
Back
Top Bottom