PAMBA JIJI FC🆚YOUNG AFRICANS SC
📅28.02.2025 | 🏟️CCM KIRUMBA | ⏱️4:15PM
Karibu kwa update za mchezo wa Leo
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji
Mpira umeanza
Dakika ya 1
Mwamnyeto amefanya madhambi
Dakika ya 6
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 7
Max nzengeli anakosa nafasi ya wazi...
Wakati kukiwa na mijadala kuhusu wachezaji wa ligi mbalimbali za soka nchini kuhusika katika michezo ya kubashiri (betting) na kupanga matokeo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefichua kuwa ameshawanasa baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wakijaribu kuihujumu.
.
Kauli hiyo ya kushtua ya Mtanda...
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa...
Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.
Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?
Wana Simba...
Soma pia: Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi na Pamba Jiji hapo kesho'
========
Uongozi wa klabu ya Simba umesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana vilivyofanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC, kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa...
"Kikosi kwa sasa kinaendelea na programu ya mazoezi kikijiandaa na mchezo dhidi ya Pamba. Leo usiku tutaondoka kwenda Mwanza na wachezaji wanne waliokuwa Taifa Stars na Camara aliyekuwa timu ya taifa ya Guinea wameshajiunga na kambi. Steven Mukwala atawasili Dar kesho alfajiri na kuunganisha...
Hila hizi timu zetu za bongo zinachekesha sana.
Kocha anakumbukwa kwenye shida lakini rekodi zake ni kubwa Minziro ameaminika kwenye kikosi cha Pamba Jiji FC baada kuachana na bwana Goran Kopunovic. Ila Kocha Minziro onyesha kila ulichonacho wakuheshimu na waacha dharau za kijinga...
Sema tayari kimeumana! Hawa Pamba Jiji Championship inawaita mzunguko wa kwanza tu 😃
Uongozi wa Klabu ya Pamba Jiji Fc unautaarifu umma kuwa umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu Goran Kopunovic.
Lakini pia umefikia makubaliano ya kusitisha mikataba ya...
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚Pamba Jiji FC
📆 03.10.2024
🏟 Azam Complex
🕖 6:30PM(EAT)
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC
Mpira umeanza
Dakika ya 5
Goal Baccaaaaaaaaaaa
Dakika 7
Tunashambulia kwa kasi
Dakika ya 12
Yanga SC wanapata Kona
Dakika ya 14
Tunapata...
Teh!
Wameshindwa kuifunga pamba Jiji, walichoambulia ni Red card.
Niliwaambia Azam FC kuna magarasa, Soma Pia Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy
Pia Pamba jiji ipo vizuri mkabisha haya sasa Pamba Jiji naiona kama vile ilikuwa ligi kuu...
Ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC premier league kuanza kutimua Vumbi hii leo Agosti 16 2024 ambapo mchezo wa kwanza kwa msimu wa 2024/25 unapigwa leo kati Ya Pamba Jiji Fc 🆚️ Tanzania Prisons
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.