pamba vs tanzania prisons

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Hongereni sana wana TP Lindanda(klabu ya Pamba)

    Ninawapongeza sana kwa mwanzo mzuri wa ligi ya NBC 2024/25 kwa kutoka sare na Tanzania Prisons uwanja wa Kirumba. Mmecheza kandanda safi na kwa mwendo huo tuna matumaini mtaendelea kufanya vizuri huko mbeleni. Hongereni sana. PIA SOMA - Full Time: Pamba Jiji Fc 0-0 Tanzania Prisons
Back
Top Bottom