Ninawapongeza sana kwa mwanzo mzuri wa ligi ya NBC 2024/25 kwa kutoka sare na Tanzania Prisons uwanja wa Kirumba.
Mmecheza kandanda safi na kwa mwendo huo tuna matumaini mtaendelea kufanya vizuri huko mbeleni.
Hongereni sana.
PIA SOMA
- Full Time: Pamba Jiji Fc 0-0 Tanzania Prisons