pamba yatema wachezaji wote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pamba United: Baada ya kupanda Ligi Kuu, wamepiga chini wachezaji wote

    Baada ya timu ya Pamba United kutoka Mwanza kufanikiwa kupanda kwenye Ligi Kuu ya NBC mwaka 2024/25 wameamua kutemana na wachezaji wake wote. Hii imetolewa leo na msemaji wao, kwa kudai wamemalizana mikataba na wachezaji wote so wanaanza usajili kuanzia namba 1. Pia wanapiga chini bench la ufundi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…