Bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa WBO Afrika katika uzani wa middle, Hassan Mwakinyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga akituhumiwa kum-shambulia mtu anayedaiwa kuingia katika eneo lake bila ya ridhaa yake.
Mwakinyo anashikiliwa na jeshi hilo tangu jana...
Msimamizi wa pambano la hassan mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey hajalipwa dola zake, hajafika kwenye pambano na hapokei simu, pambano limeshindikana kuchezwa kuchezwa kwa kuwania mkanda wa wbo Afrika.
Promoters, matchmakers na bodi ya ngumi ilibidi wawe mstari wa mbele kukamilisha malipo hayo...
Usiku wa vitasa wa leo utakuwa na mapambano nane, huku main card ikiwa ni Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo akizichapa na bondia Kutoka Ghana, Patrick Allotey ambalo ni pambano la kupambania ubingwa wa WBO, Litakuwa la Round 10
Mapambano ya utangulizi ni
1. Jamal Kunoga VS Abdallah Mahumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.