pambano la mwakinyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwakinyo ashikiliwa na Polisi Tanga, akituhumiwa kum-shambulia mtu

    Bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa WBO Afrika katika uzani wa middle, Hassan Mwakinyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga akituhumiwa kum-shambulia mtu anayedaiwa kuingia katika eneo lake bila ya ridhaa yake. Mwakinyo anashikiliwa na jeshi hilo tangu jana...
  2. G

    Pambano la Mwakinyo dhidi ya Patric Allotey halijafanyika. Yadaiwa msimamizi wa mashindano hajafika, hapokei simu, anatafutiwa dola

    Msimamizi wa pambano la hassan mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey hajalipwa dola zake, hajafika kwenye pambano na hapokei simu, pambano limeshindikana kuchezwa kuchezwa kwa kuwania mkanda wa wbo Afrika. Promoters, matchmakers na bodi ya ngumi ilibidi wawe mstari wa mbele kukamilisha malipo hayo...
  3. Pambano la Mwakinyo laahirishwa, mkanda uliokuwa unapiganiwa haukuletwa ulingoni

    Usiku wa vitasa wa leo utakuwa na mapambano nane, huku main card ikiwa ni Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo akizichapa na bondia Kutoka Ghana, Patrick Allotey ambalo ni pambano la kupambania ubingwa wa WBO, Litakuwa la Round 10 Mapambano ya utangulizi ni 1. Jamal Kunoga VS Abdallah Mahumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…