panasonic

  1. M

    Wakuu naweza pata feni la panga boi panasonic Kariakoo 56E

    Wakuu za asubuh Nilikuwa napenda kuwauliza kwa maeneo ya Kariakoo wapi naweza pata FENI kubwa la panga boi la kuliweka sebuleni kampuni ya Panasonic au asha care ikiwezekana hata high class. Msaada wenu wakuu
  2. T

    Panasonic KX-7730

    Nahitaji hii simu,hata kama ni mbovu. Mwenye nayo au anaeweza kuipata tafadhali.
  3. Emperor of the South

    Kurekebisha Redio ya gari Panasonic Strada

    Wakuu kwema? Nimekutana na changamoto kutumia redio iliyopo kwenye gari (ilikuja na gari) aina ya Panasonic Strada kwani hai-respond chochote na inaonekana inatakiwa kuwa na SD card ambayo kwasasa haipo. Je, kuna namna ya kuifanya redio hii ipige kazi fresh?? Ikiwa on inakua na muonekano kama...
  4. D

    INAUZWA Nauza deki ya home theatre aina ya panasonic

    Habari wadau. Deki ipo Dar, faida nyingine ya deki hii ni kwamba inayo amplifaya ndani yake , kwa hiyo unaweza kutumia kama amplifaya na radio kwa wakati mmoja. Bei : 130,000 Mawasiliano : +255621396850
  5. T

    Naomba msaada wa namna ya kubadili lugha kwenye Panasonic KX-TES824

    Hope wote mu wazima wa afya. Kama kuna mtu anaeelewa huu mtambo, naomba msaada wa kubadili lugha.
  6. N

    INAUZWA Panasonic Lumix gh4 with 45-150mm

    Panasonic Lumix gh4 with lens (45-150m)🔥🔥🔥🔥🔥bei ya ofa Kwa 1,550,000/= ukashoot 4k video 0716917896
  7. N

    Panasonic limix s1

    Panasonic s1 full frame ipo na convetor ya ef unatumia lens za canon Bei 4.3m OR EXCHANGE PLUS TOP UP ALLOWED 0716917896
  8. MKONGORO

    Msaada natafuta motherboard ya Tv Panasonic

    Wakuu habarini za majukumu! Natafuta mother board ya hii Tv panasonic tafadhali naombeni msaada kwa mwenye kujua wapi naweza ipata 0683965391
  9. Rich Forever

    INAUZWA Ac Panasonic inauzwa laki tatu na nusu

    Ac aina ya panasonic1 horse power inauzwa bei laki tatu na nusu (350000) imetumika miezi mitatu tu ipo kwenye hali nzur sana inapatikana mwananyamala karibu na royal bar rimot yake imepotea ila inapiga kazi vizur. Mawasiliano 0687102420 0719590756
  10. N

    INAUZWA Nauza camera panasonic gh5s

    Panasonic gh5s camera for best video quality. Uwezo Shoot 4k up to 60fps Dual native iso 400 and 1600 Support cinema 4k up 60fps Shoot 4k 10bit 4:2:2 internaly Assisting feature kamaFalse color for manual focusingWaveform HistogramBetter colour kuliko gh5 Ukitaka kupata more review check...
  11. N

    INAUZWA Panasonic GH5s camera bei ya ofa 4m

    Panasonic gh5s bei ya ofa jamani kwa anayeifahamu anajua dhamani yake kama uifahamu tafadhali ingia youtube search "panasonic gh5s review" uone ubora wa hii camera. Bei 4m (maongezi yapo kidogo kama upo serious kununua tu). Nicheck 0752527054 or 0629274880 or 0716917896
  12. N

    INAUZWA Panasonic gh5s with speedbooster

    Panasonic Gh5s with viltrox speedbooster 0.71x magnification(hii ni speed booster ambayo ina convert ef to mfd plus magnification) tofauti na zile convetor Ipo na cage yake plus handle Bei 4.6m*(maongezi kidogo yapo) Nicheck 0629274880 or 0752527054
  13. K

    Nauza fridge, kabati, feni, zulia na rice cooker

    Habari zenu wadau wa Jamiiforums, matumaini yangu kuwa hamjambo, wakati tukielekea kuumaliza mwaka 2018 kuingia 2019 na zikiwa zimebaki siku chache, nikaona ni vyema niwatangazie kuwa nauza vitu tajwa hapo juu. Fridge aina ya PINETECH milango miwili = Tsh420,000(Mazungumzo yapo), Kabati jeusi...
Back
Top Bottom