panya waharibifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitu gani cha thamani ambacho panya aliwahi kukuharibia mpaka sasa unawachukia hata kuwaona

    Hawa wanyama wa ajabu sana waharibifu mpaka wanakeraa, wanaweza wakaingia kwenye begi wakaacha vitu visivyo vya maana wakatafuna vyeti vya shule au hela. kwakweli mimi nikiwaona hawakai kwa amani kabisa nitafanya kila jambo kuwasambaratisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…