Katikati ya mdororo wa uchumi, anguko la viwanda lililosababisha Great Depression. Biashara za magendo zikitawala, Magenge ya kimafia yakiwa fasheni ya mitaa. Ni wakati huo alizaliwa mtoto.
Chicago, Illinois, ngome kuu ya maharamia wa Chicago Outfit, chini ya underworld chief, Al Capone a.k.a...
Mambo vipi walipa kodi!!?
Hivi majuzi nilikua na process kamkopo Fulani hivi kwenye Moja ya taasisi za kibenki hapa nchini,Hadi sasa hakuna nilichoambulia japo process zote zimekamilika!
Nilipomuuliza mdau mmoja wa taasisi hiyo akaniambia hujui mtandao wa fedha haupo nchini!!?na wameagizwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwapiga risasi zilizopelekea vifo vyao Vijana wawili Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) Wakazi wa Vingunguti Jijini Dar es salaam ambapo wamesema Vijana hao walikuwa Wahalifu (Panya Road) na kwamba mwenzao wa...
RC Chalamila ameyasema hayo katika mkutano na wananchi wa maeneo ya Chanika alipokutana nao kusikiliza kero zao.
Amesema katika utafiti walioufanya, panyaroad wengi wanatoka maeneo ya Chanika na Zingiziwa ambayo yapo wilaya ya Ilala.
Huyu mkuu wa mkoa ni muhuni TU. Bora charamila mara10000.
Yaani wananchi wanajosa amani anapiga porojo. Sikutegemea kuendelea hapo DSM nilishangaa makala kuachwa tangu watoto watukitu panyaroad wapigawatu. Aliongea siasa za kipuuz sana
Nyumba zote nchi zina namba, sensa security inaweza kuona kila nyumba yenye mwizi. Tumieni, hakikisheni mnajua namba za nyumba mitaani kwako na ubainishe zenye wahuni a.k.a panyaroad.
Fanya hivi,
Andika mitaa yote na majina ya wamiliki, wapangaji na namba ya nyumba.
1. Andika namba ya "Peleka...
Jeshi la Polisi mkoani hapa lina washikilia watu wanne kufuatia tukio la vijana wanaodhaniwa kuwa ni wa kundi la Panyarodi kuvamia makazi katika eneo la Bunju B Mtaa wa Idara ya Maji saa 8 usiku wa kuamkia Februari 10, 2023.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dr es Salaam, Jumanne Muliro amesema...
JamiiForums tafadhari fuatilieni taarifa za Morogoro Kihonda kumekuwa na vijana nyakati za usiku wanagonga nyumba za watu ukifungua wanaiba na kushambulia watu kwa mapanga.
Inasemekana ni panya road. Mabalozi wa mitaa wametupa taarifa wananchi hatuna amani.
Hali imezidi kuwa Tete hakuna...
Najua watanzania wengi ni wabinafsi hawajali haki za wengine na wengine hawafahaumu,lakin Nchi haiwezi kua na amani kama kutakua na double standard na dhulma kiwango hiki.
1. Kama nchi imeamua kushughulikia uhalifu kwa kuua basi tuanze kupewa taarifa ya akari waliohusika na mauji ya kijana...
Nimesikitishwa Sana na chuo changu kusikia eti wanatanya tafiti kuhusu uchawi na Imani za kishirikina!
Hilo ni jukumu la viongozi wa kiroho kulifanyia sio wao.
Sasa hivi kuna majanga makuu matatu,
Panyaroad wanaoleta sintofahamu nchini,mngekuja na tafiti jinsi ya kuhodhi nguvukazi zilizokosa...
Kama Taifa tumeshindwa kabisa kuwahodhi nguvukazi ya vijana WETU Hadi WAMEKUWA panyaroad wakikimbizana na polisi!huku ni kufeli kwa sera zetu za ajira japo tuna wabobezi katika uchumi pia ni wanasiasa wakubwa.
Wimbi la vijana waliokosa ajira litaongezeka KILA mwaka na kuzalisha wahalifu...
Msako unapokuwa mkali, (msako huo)wanajua ni mijini tu husogea mji wa karibu na mjini. Kwa mfano wakisakwa DSM husogea Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe na kadhalika.
Msako ukizidi zaid huelekea mikoa ha jirani. Kwa mfano Morogoro, PWANI, Tanga nk au hata ndani ndani huko kusikofikika.
Jeshi la...
Kujamiiana hovyo kunapelekea kukataa mimba au kutelekeza watoto, pamoja na malezi mabovu kwenye jamii vyanzo vya panyaroad
Wengi wa hawa tunaowaita panya wana baba zao na mama zao
Habari wana JF..
Mkuu wa Mkoa wa Dar, fanya hima juu chini, futilia mbali hawa watoto wadogo wahuni watakuharibia kazi, sambaza vyombo vyako vya ulinzi vya mkoa, usiku na mchana, kama wiki nzima, kamata wote, sheria ichukue mkondo wake.
Mh. Makala, nachokiona, ukichelewa kidogo tu, hawa...
Hili la panya road lilkuwepo miaka fulani ya hapo nyuma ila likapotea miaka ya 2015 na kuendelea. Na maeneo ya wahanga wa hili zaidi ni mkoa wa Dar es salaam
Hawa ni watoto wetu wa mitaani mwetu kabisa. Walikuwa watukutu hawataki kwenda shule, hata kule shuleni hakuna mwalimu yeyote atahangaika...
Wakati katika jiji la Dar es salaam vyombo vya dola vinahangaika kuhakikisha kabisa kuwa vijana wanaojiita 'Panya road' wanatokomezwa kabisa ambao ni maarufu sana maeneo ya Yombo,Buza na baadhi ya maeneo ya Mbagala na Mburahati basi Mkao wa Mbeya ambao inasadikika kuwa una rais wao waliemchagua...
Tukio hili limetokea leo saa 3 usiku Mbagala mwisho na shuhuda wa tukio hilo nikiwa mimi mwenyewe.
Nikiwa njiani narudi nyumbani kulitokea taharuki kubwa baada ya tetesi kusikika kuwa Vijana watukutu maarufu kama PANYA ROAD wamevamia stand ya Mbagala wakifanya wakipora mali na kupiga watu...
Leo wameichakaza Makumbusho na inaonekana trend itaendelea.
Wizi wa mchana kweupe wa kundi la vijana takribani 50 wakiwa na silaha za jadi unaonekana kulishinda Jeshi la Polisi jijini Dar.
Tukimbilie wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.