papa francis

Francis: Pray for me (Spanish: Francisco – El Padre Jorge, lit. 'Francis – Father Jorge') is a 2015 Argentine film, starring Darío Grandinetti as Pope Francis. The film is based on the 2013 book, Pope Francis: Life and Revolution, which was written by Francis' close friend Elisabetta Piqué who is also a correspondent for the Argentine newspaper, La Nación in Italy and the Vatican since 1999. The film was released as Papa Francisco: The Pope Francis Story in the Philippines.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    SI KWELI Papa amesema kuwa Wakatoliki wale chochote wanachokitaka wakati wa Kwaresima kwa kuwa dhabihu haipo tumboni bali moyoni

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: “Eat whatever you want during Holy Week, the sacrifice is not in the stomach but in the heart. People abstain from eating meat, but they do not talk to their siblings and/or relatives, they do not visit their parents and do not...
  2. T

    Papa Francis hataongoza ibada ya Jumatano ya majivu Machi 5, 2025 licha ya hali yake kuimarika

    Papa Francis anaendelea kupata nafuu huku akiendelea kupambana na nimonia pande zote mbili, Vatican ilitangaza Ijumaa, lakini hatatoongoza ibada ya kila mwaka ya Kanisa inayofungua kipindi cha Kwaresima cha Wakristo wiki ijayo. Francis, mwenye umri wa miaka 88, sasa amekaa hospitalini Gemelli...
  3. and 300

    Tuzidishe Maombi kwa Papa Francis-Rais wa Vatican

    Afya ya Rais wa Vatican na Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani. Papa Francis ipo Mashakani. tumkumbuke kwenye sala zetu
  4. T

    SI KWELI Papa Francis amefariki leo, Februari 24, 2024

    Je hii ni kweli?
  5. L

    Papa Francis akutwa na Nimonia

    Ndugu zangu Watanzania, Vatican imethibitisha kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis ameugua nimonia (bilateral pneumonia) hali inayohusisha maambukizi kwenye mapafu yote mawili. Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Vatican Madaktari wake wamebaini ugonjwa huo baada ya vipimo vya...
  6. Inside10

    Papa Francis amteua Padre Romanus Elamu Mihali wa Jimbo la Mafinga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Iringa

    Baba Mtakatifu Fransisko ameridhia ombi la kustaafu Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa wa Jimbo la Iringa, na kumteua Padre Romanus Elamu Mihali wa Jimbo la Mafinga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Iringa, leo tarehe 28/01/2025. Mhashamu Askofu Mteule Romanus Elamu Mihali, alizaliwa tarehe...
  7. Beira Boy

    Nimeota ndoto na kuona roho wa paka kwenye kiti cha enzi cha papa Francis wa kanisa la Roma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Katika kufunga Kuna faida zake Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili Usiye na cheo wala uchumi wa kueleweka Lakini BWANA huendelea kukaa pemben yako daima , huendelea...
  8. Z

    Papa Francis asema kinachoendela huko Gaza sio vita bali ni ukatili unaofanywa na Israeli dhidi ya watoto

    Papa Francis alaani vikali kinacho iendela huko Gaza na kuilamu Israeli kwa ukatili wanao ufanya dhidi ya watoto. Amesema kinacho fanywa na Israeli sio vita bali ni ukatili dhidi ya watoto, amesema jambo hilo linamuumiza sana roho yake kuona kila kukicha watoto wanauliwa kwa makombora ya...
  9. The Watchman

    Papa Francis, apewa gari jipya la kisasa aina ya Mercedes Benz linalotumia umeme peke kuhimiza matumizi ya teknolojia rafiki kwa dunia

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis, amepewa gari jipya la kisasa aina ya Mercedes Benz linalotumia umeme pekee likiwa ni gari la kwanza la aina yake kutengenezwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya Kiongozi huyo ambapo hatua hiyo inayoonyesha azma ya Vatican kulinda mazingira na kuhimiza matumizi...
  10. B

    Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani

    Haya tena Papa Francis naye acharuka: Hivi hawa wenye kujua kinacho hitajika kuwa ni kukaa chini na kuongea amani ni wafuasi wa nani? Kwamba siyo wenda wazimu? Ni maswali nyeti sana haya kwa wenye akili zao.
  11. Dalton elijah

    Mchakato kumpata mrithi wa Papa Francis waanza

    MKUU wa Kanisa Katoliki, Papa Francis,amewatawadha makadinali 20 ambao wataongezwa katika orodha ya kupata mrithi wake baada ya kifo au kujiudhulu. Miongoni mwa waliotawazwa wakati wa hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye kanisa ya St Peter Basillica, 16 miongoni mwao walikuwa na umri wa...
  12. Mkunazi Njiwa

    Baba mtakatifu Papa Francis na ujumbe wa amani na upendo huko Indonesia. Binadamu sote ni ndugu

    Wakatoliki na waislam wanasheherekea upendo na huruma ya Mwenyezi Mungu kwa binadamu huko Indonesia. Makanisa na misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu kwani ndani yake hutajwa sana. Imamu mkuu na papa wamekumbatiana kwa upendo na utu mkubwa. Papa alikuwa msikitini leo... #Say No To Bigotry...
  13. Ritz

    Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."

    Wanaukumbi. NDANI TU: 🇮🇱 🇵🇸 Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi." "Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda...
  14. T

    Papa Francis aomba radhi baada ya ripoti kudi alitumia lugha ya chuki kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Hizi majuzi Papa Francis amelazimika kuomba radhi hadharani baada ya taarifa kuvuja kwamba kwenye kikao cha hivi karibuni na makadinali 250 wa Italia, Papa alitukana mashoga. Kwenye kikao hicho binafsi Papa Francis alitumia maneno makali sana dhidi ya mashoga na ushoga. Zaidi Papa alionya...
  15. Joshua Panther

    Papa Francis anashtumiwa kutoa maneno ya chuki dhidi ya ushoga katika mkutano wa faragha

    Papa Francis anadaiwa kuwaambia maaskofu wa Italia kutowaruhusu wanaume mashoga kupata mafunzo ya ukasisi, huku magazeti mawili ya Italia yakidai kuwa papa huyo mwenye umri wa miaka 87 alitoa maneno ya chuki dhidi ya watu wa jinsia moja katika mkutano wa faragha wiki iliyopita. Wakinukuu vyanzo...
  16. Doctor Mama Amon

    'Dignitas Infinita': Misingi kumi ya ubinadamu kutoka kwenye mapokeo ya Kikristo iliyotajwa na Papa Francis inawafaa Watanzania kwa kiasi gani?

    I. Abstract The Vatican declaration entitled "Dignitas Infinita" in Latini, meaning "infinite dignity," in English, was issued on 08 April 2024. The Key philosophical argument proposed by this document can be summarized in five steps as follows: "For three millennia of Christianity, all...
  17. sanalii

    Papa Francis asema wanachokifanya Israel ni ugaidi

    My take: 1. Kwa sasa najikita katika haki za binadamu tu, as long as mtu hamdhuru mtu mwengine, kesi yake namuachia mwenyewe na Mungu. 2. Watu weupe hasa wa magharibi wana utu sana na wanajitahidi kutumia logic, hisia za dini haziwapeleshi. 4. Waafrika wengi wanaroho mbaya sana na...
  18. JanguKamaJangu

    Ukraine yapinga ombi la Papa Francis kujadili kusitisha vita na Russia

    Ukraine Jumapili ilipinga wito wa Papa Francis wa kujadili kusitisha vita na Russia, huku Rais Volodymyr Zelenskiy akisema Papa alikuwa akifanya “upatanishi kwa mbali” na waziri wake wa mambo ya nje akisema Kyiv haitasalimu amri. Francis alisema kuwa wakati mambo yanaelekea kubaya kwa pande...
  19. Chachu Ombara

    Padre Godfrey Jackson Mwasekaga ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Mbeya

    Baba Mtakatifu Fransisko amemteua mheshimiwa sana Padre Godfrey Jackson Mwasekaga wa Jimbo Kuu katoliki la Mbeya kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Mbeya , leo tarehe 09.03.2024 Mhashamu Askofu mteule Godfrey Jackson Mwasekaga alizaliwa Machi 17 mwaka 1976 Kyela, jimbo kuu Katoliki la Mbeya...
  20. Mjanja M1

    Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January...
Back
Top Bottom