papa

Pápa [ˈpaːpɒ] is a historical town in Veszprém county, Hungary, located close to the northern edge of the Bakony Hills, and noted for its baroque architecture. With its 32,473 inhabitants (2011), it is the cultural, economic and tourism centre of the region.
Pápa is one of the centres of the Reformed faith in Transdanubia, as the existence of numerous ecclesiastical heritage sites and museums suggest. Due to the multitude of heritage buildings the centre of the town is now protected.
Pápa has a large historical centre, with renovated old burgher's houses, cafes, and museums, including the Blue-Dyeing Museum (Kékfestő Múzeum), set up in a former factory which produced clothes and other textiles dyed with indigo blue under a unique method.
The town is also noted for its thermal baths, particularly a newly constructed swimming complex, the Esterházy family's palace, its grand Roman Catholic church, and Calvinist secondary school; the town is an important religious centre. It also boasts a large park near the centre of town.
The town has been the main center of trade in the wines of the Somló wine region. Pápa was an administrative regional capital from 1945 to 1983.

View More On Wikipedia.org
  1. Papa Francis aruhusiwa kutoka Hospitali baada ya kulazwa kwa siku 3

    Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki mwenye miaka 86, alilazwa Machi 29, 2023 katika Hospitali ya Gemelli Polyclinic baada ya kuripotiwa kuwa na matatizo ya kupumua ambapo alianza matibabu ya Dawa za 'Antibiotic'. Maafisa wa Vatican wamesema #PapaFrancis atakuwa katika Uwanja wa Mtakatifu Petro kwa...
  2. Papa Francis alazwa Hospitali kutokana na matatizo ya upumuaji

    Taarifa kutoka Vatican zimeeleza kuwa Papa alianza kupata shida ya kupumua na kukimbizwa Hospitali kwaajili ya vipimo lakini Madaktari wameshauri abaki kwa uangalizi zaidi. Kwa mujibuwa taarifa, Papa amelazwa katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha The Gemelli mjini Roma, ambako atahitajika kukaa...
  3. Je, siri gani imejificha juu ya nchi ya Tanzania hadi papa abusu ardhi ya Tanzania?

    Wakuu. Kuna suala linaniumiza sana Kichwa. Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu? 1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE Kuna nini Ardhi ya Tanzania? 2. Kipi kimejificha Ambacho sisi hatukijui? 3. JE Tanzania...
  4. Papa Francis ana mpango wa kuruhusu mapadri kuoa

    Papa anadai kuwa takwa la mapadri kutooa lilikuwa ni la muda tu(Takwa hilo lilianza karne ya 11). Anasema hakuna utata wowote iwapo watawa wataoa. Anadai mapadri wa kanisa la mashariki wanaoa na hakuna shida yoyote. Anafanya mpango kureview suala hilo. ====== In a new interview, Pope Francis...
  5. Papa John Paul II alifunika Kashfa za Unyanyasaji wa Watoto alipokuwa Kardinali

    Ripoti ya Shirika la Utangazaji la TVN limeripoti kuwa, Hayati Papa John Paul II alijua kuhusu unyanyasaji wa watoto katika Kanisa Katoliki la Nchini Poland miaka kadhaa kabla ya kuwa Papa na alisaidia kuficha taarifa hizo. Michal Gutowski, mpelelezi wa ripoti hiyo, alisema Papa alijua kuhusu...
  6. Papa Francis aitaka Urusi kuacha vita vya kipuuzi na kikatili

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine. Wito huo ameutoa Jumatano mjini Vatican, katika hadhara yake ya kila juma, ikiwa ni kipindi kifupi kabla ya kutimia mwaka mmoja tangu...
  7. Kanisa la Anglican la Uingereza (Church of England) linajadili kutumia maneno yanayomhusu Mungu yasiyowakilisha jinsia yoyote (gender neutral terms)

    Kanisa la Anglican linajadili uwezekano wa kutokutumia jinsia pale unapotaja Mungu. Yaani mungu sio baba ama mama. Lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kwamba dini inaendana na muda na wakati wa sasa na dini inakua jumuishi. Dini kua jumuishi ama inclusive ni kutambua haki za mashoga na watu...
  8. R

    Tusiombe tuwe na viongozi wenye roho ngumu kama Sudan. Papa anawapigia magoti na kuwasujudia waache vita lakini wao hawaelewi

    Mkuu wa Kanisa la Roma Duniani alikuwa nchini Sudani. Katika kuimiza Amani aliongoa Kwa uchungu sana. Akuishia kuongea Tu Bali akachukua jukumu la kuwapigia magoti kiongozi mmoja mmoja. Pamoja na hayo yote bado hatuoni wakiwa serious kutatua changamoto zao. Wakati papa natokwa machozi wao wala...
  9. F

    Ushoga unasababishwa na mambo haya makubwa mawili. Papa Francisco aeleweke vizuri hapa

    Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili; 1) Natural predisposition (genetics). 2) Mazingira (malezi na trauma). Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya. Pia...
  10. Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

    Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya. Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi? Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi? Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida...
  11. Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  12. Picha: Papa Francis akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa Papa Benedict XVI

  13. Picha: Mwili wa Papa Benedict XVI umewekwa ndani ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, Vatican

    Mwili wa Papa Mstaafu Benedict wa 16, na kichwa chake kikiwa juu ya mito ya rangi nyekundu, umelazwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro huku maelfu ya watu wakiwasilisha maombi ya kutoa heshima za mwisho kwa Papa huyo ambaye aliishangaza dunia kwa kustaafu. Kulipopambazuka, Walinzi 10 wa Papa...
  14. TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

    Pope Benedict XVI has passed away at age 95. He held the apostolic see from 2005 to 2013, when he unexpectedly announced his decision to abdicate. In recent years, he lived in a small monastery, Mater Ecclesiae, in the Vatican Gardens. Nini ilikua Motive ya Huyu Papa kujiuzulu 2013 ...
  15. Vatican: Papa Francis asema hali ya Papa Benedict XVI ni mbaya, aomba watu wamwombee

    Katika taarifa yake, Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki ameomba watu kumkumbuka katika Sala Maalumu ya kumtakia afya njema #PapaEmeritusBenedict ambaye alijuzulu Februari 2013. Benedict ambaye jina lake halisi ni Joseph Ratzinger alitangaza kuwa hali yake kiafya imetetereka na kuamua kuachia...
  16. Papa Francis alaani njaa ya mali, madaraka vinaharibu Dunia

    Akitoa salamu zake wakati wa kusherekea Sikukuu ya Krisimasi amesema hali hiyo ndiyo inachafua Dunia, kicha ya kutotaja kwa majina lakini inaaminika alikuwa akizungumia vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine. "Matukio ya vita ni mengi, waathirika wakubwa ni wanyonge na walio katika...
  17. Je, Wajua Barua ya kujiuzulu kwa Papa Francis iko tayari tangu mwaka 2013?

    Kiongozi huyo wa Kanisa la Katoliki lenye Waumini zaidi ya Bilioni 1.3 alisaini Barua ya Kujiuzulu baada tu ya kuteuliwa kushika Wadhifa huo na inasubiri tu augue kiasi cha kushindwa kutekeleza Majukumu yake ili aondoke Madarakani. Papa Francis aliyetimiza miaka 86 Desemba 17, 2022 aliikabidhi...
  18. Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

    Papa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii ya mashoga (LBGTQ). ikumbukwe kuwa mwezi May mwaka huu, papa Francis alinukuliwa akisema "God...
  19. Papa Francis atuma salamu za rambirambi kufuatia ajali ya Precision Air

    Katibu Mkuu wa Vatican, Kadinali Pietro Parolin, kwa niaba ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ametuma salamu za rambirambi kwa watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia ajali mbaya ya ndege ya Precision Air iliyosababisha watu 19 wapoteze uhai. Papa Francis ametoa...
  20. T

    Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

    Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video. Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia. =====/ Pope Francis has warned priests and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…