Habari wakulima na Wafugaji
Mimi ni mkulima Mdogo wa mazao ya Matunda kama machungwa na passion ila nimejaribu na kilimo cha papai naona kinakuja vizuri.
Nimeanza na miche 1000 ya kisasa na inakuja vizuri na imeanza kubeba, nimeanza kupata hofu ya soko maana kawaida ya papai ikikomaa ibatakiwa...