paracetamol machupo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    SI KWELI Tembe za Paracetamol (P-500) huwa na Virusi vya Machupo ambavyo ni hatari kwa Afya

    Kuna taarifa zinasambaa Mtandaoni zikidai kuwa tembe za Paracetamol zenye jina la P-500 siyo salama kwa afya. Taarifa hii inawataka watu kutukutumia dawa hii kutokana na uwepo wa virusi vya Machupo ambavyo ni hatari kwa afya, vinaua. Ukweli wa taarifa hii upoje?
Back
Top Bottom