parking fee

  1. J

    Waziri Mbarawa Punguza punguza parking fee za magari vituo vya SGR

    Hivi Waziri Mbarawa na Kadogosa hivi kweli wakati mnapanga parking fee ya shilingi 2000 per hour, then 20,000 per one day mli take into consideration ya hali halisi ya maisha ya Mtanzania? Labda nikwambieni tu kwa mtanzania wa kawaida (Middle Class citizen) ambao ndo wengi na vigari vyao vya...
  2. T

    Parking fee kamata kamata

    Wapendwa natumaini hamjambo. Kama kuna mtu anadaiwa parking ya gari inayozidi 10,000. Lipa kabla ya saa nne leo, vinginevyo ukikamatwa gari linapelekwa godown na unalipa laki nne.! Hiyo ni kuanzia leo 04/09/2023
  3. and 300

    Kutoza 'Parking fee' Kwa sehemu Public si sawa

    Yaani umepaki gari mtaan ukaenda tu kwenye fremu za maduka kununua bidhaa ukirudi unakutana na risit ya kulipa ushuru wa maegesho. Ushuru wenyewe wanaenda kugawana psho huko Hazina na Halmashauri kisha CAG anakuta madudu matupu. Hii si sawa
  4. Mtemi mpambalioto

    Ushuru wa Maegesho: Sitaki kuamini kama uhuni huu wa TARURA una baraka ya Serikali

    Suala la Parking fee kwa kweli naanza kuamini kuna upigaji mkubwa! Kitendo cha kutokuweka karatasi kwenye gari mara baada ya kupiga picha si kitendo cha uu gwana kabisa! tunaibiwa sana sana sana kupitia uhuni huu. Hebu fikiria mtu anakupiga picha ukiwa kwenye FOLENI! kwenye foleni jamani...
Back
Top Bottom