Habari wadau,
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea TARURA, na uenda mimi sio mhanga pekee, lakini ni vema nifichue hiki kitu kwa faida yangu na wengineo.
Mimi ninafanya shuguli zangu nchini lakini pia huwa Nasafiri sana. Sasa tangu mwaka jana 2023 mwezi wa 5, kuna gari langu nililipark kwangu...