pascal mayalla

  1. Pascal Mayalla Mzee wa makala za "Kwa maslahi ya Taifa", mbona uko kimya bei ya sembe imefika 1,800/- kwa kilo

    Pascal Mayalla nakusalimu. Nimekuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri sana wa makala zako ulizozibandika jina la "Kwa Maslahi ya Taifa". Kupitia makala hizi nimekuwa nikijifunza vitu mbalimbali na bingo sana. Kikubwa zaidi nilichojifunza, hizi makala zipo kwa ajili ya kuwaponda wapinzani na...
  2. Kwanini nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka?

    Habari za muda huu wana JF. Naomba kufahamu hii inamaana gani? Kwa zaidi ya miaka 3 sasa nimekuwa nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka. Hii hali imekuwa inanishangaza sana. Nimejaribu kuuliza wadau ila hakuna mahali nimepata jibu la kuridhisha. So nimewasilisha kwenu ili niweze kupata...
  3. Pascal Mayalla; Hongera kwa kushinda vita dhidi ya Ndugai

    Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali...
  4. Je, wajua haramu isipoharimishwa inageuka halali? Na batili isipobatilishwa inageuka halali. Je, tuhalalishe ubatili huu kwa mhimili wetu wa Bunge?

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa natoa makala elimishi za kisiasa, kiuchumi na kijamii ziitwazo "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa lengo la uzalendo kwa nchi yangu, kuisaidia nchi yetu, serikali yetu, viongozi wetu na...
  5. Pascal Mayalla:Krisimasi ni siku ya kutoa na kukumbuka wenye mahitaji.

  6. Marekebisho makubwa ya sheria za Jinai nchini

    Marekebisho makubwa katika sheria za Jinai nchini Tanzania: Na. M. Majaliwa, Esq. Tulikwishapoteza mwelekeo, hatukuwa tena nchi yenye kustahili kujinasibu kwa tunu za Uhuru, Haki, Udugu na Amani ambazo kimsingi zimetajwa kama sehemu ya misingi ya katiba yetu, rejea sehemu ya Utangulizi ya...
  7. Execution of Decree in Tanzania

    This is the book which pacts with the significant area of practice in law, ‘Execution’, especially in Tanzanian context. It covers almost all important areas of the law and therefore gives answers to all possible questions which a law student and law practitioners like practicing advocates...
  8. J

    Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19

    Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi. Pascal amesema Chadema hawana fedha za kuitisha kikao cha kujadili rufaa za wabunge wake wa viti maalumu sasa fedha za...
  9. Kwa wateule hawa, bora Pascal Mayalla asiteuliwe maana itakuwa kumdhalilisha tu

    Haiwezekani kichwa kilichojaa nondo na busara kama Pascal Mayalla kiwe kwenye teuzi na kundi moja la wanasiasa kama hawa. Ukiangalia majina yalivyotoka ni wazi kuwa majina anapelekewa mwenye mamlaka ya kuteua bila kuangalia nani anafaa na ananondo za nguvu kiasi gani. Ushauri tu kwa kada wa...
  10. M

    Ni matumaini yangu wana CHADEMA wote si tu mmemsikia bali mmemuelewa vyema tu Kada wa CCM Pascal Mayalla

    " Ili CHADEMA tuwaamini kuwa AGENDA yao ya Kudai Katiba Mpya ina Mashiko na wana Hoja ya Msingi hebu wao kama Chama waanze Kwanza kuonyesha kuwa wanaheshimu Katiba ndani ya Chama chao ambapo kuna uvunjifu mkubwa tu wa Katiba " Pascal Mayalla Nukuu hii nimeitoa baada ya Kumsikia na Kumtizama...
  11. M

    Pascal Mayalla kutoka kuwa Mwandishi Nguli hadi Mtangazaji wa kawaida East Africa Radio inamaanisha nini katika Tasnia?

    Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini? Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa...
  12. Z

    Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020

    Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!. Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017...
  13. F

    Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

    Mwana JF nguli, Akihojiwa Radio DW Pascal Mayala, amemchambua Dr Bashiru. Amesema Dr Bashiru kapata ajali kubwa sana kisiasa na hatoinuka tena. Pia kadai Magufuli amiini usiamini alikuwa akimwandaa Dr Bashiru kuwa Rais 2025. Mayala amedai Dr Bashiru aliyeibukia kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya...
  14. Pascal Mayalla Ulichukia moja kwa moja. Rudi nyumbani yale yameisha

    Najaribu kuvaa viatu vya Pascal Mayalla nakutana na mambo mengi. Viatu ni vya ngozi imekauka sana halafu nimevaa viatu bila soksi.vinaumiza sana. Pascal kuna kipindi alikuwa neutral katika siasa za tanzania. Alikuwa hajajiambatanisha na chama chochote. Lakini kadri uchaguzi ulivyokaribia ndivyo...
  15. M

    Fatma Karume's opinion on president's power to confer the municipality status of the city was given per incuriam

    SHANGAZI FATMA KARUME'S OPINION ON PRESIDENT'S POWER TO CONFER THE MUNICIPALITY STATUS OF THE CITY WAS GIVEN PER INCURIAM. PART 1: GENERAL OVERVIEW. President, John Pombe Magufuli in early hours of 24th February, 2021 during the inauguration of the Ubungo Interchange expressed his intention to...
  16. Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi. Taarifa...
  17. J

    Pascal Mayalla alimtabiria Paul Makonda kuwa mgombea urais wa CCM 2025. Je, unabii wake utatimia?

    Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa. Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025. Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je...
  18. The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe? Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
  19. Uchaguzi 2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

    Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio inakwenda kushinda...
  20. J

    Uchaguzi 2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

    Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake. Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika. Lakini kubwa zaidi ni hawa wabunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…