pascal wawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Kama hiki nilichokiona katika Clip ya Mchezaji Pascal Sergi Wawa akiwafundisha Soka Vijana wa Ivory Coast ni kweli namshauri aachane tu na kuwa Kocha

    Yaani Clip nzima Yeye ni Kufoka tu huku akiwatukana Wachezaji Vijana na ninahisi hata mbeleni labda Aliwapiga pia.
Back
Top Bottom