Wakuu samahani, naomba mwenye maarifa kidogo juu ya swala hili anipe mawazo kidogo.
Nilijaza fomu ya kuomba passport mtandaoni hadi mwisho kisha nikailipia then after nika download tayari kwa kui-submit ofisi za uhamiaji.
Tatizo langu ni kuwa baada ya kuidownload form nimeona picha niliyotumia...