Habari wana JF,
Ninaomba kufahamishwa kuhusu mahitaji ya application ya international passport na visa, katika vipengele hivi,
Mahitaji muhimu
Kiasi cha fedha katika process yenyewe
Muda wa kukifatilia na muda wa kukipata
Ofisi gani zitanisaidia kwa haraka na namkuta mtu wa cheo gani...
Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport.
Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya.
Je ni haki?
Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende...
Watanganyika wenzangu nawasalimu.
Naomba kujua Utaratibu wa kupata Passport za Kieletroniki upoje? Ni Viambatanisho gani natakiwa niwe navyo na Gharama zake za Serilali zipoje?
Naomba msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.