Habari wana JF,
Ninaomba kufahamishwa kuhusu mahitaji ya application ya international passport na visa, katika vipengele hivi,
Mahitaji muhimu
Kiasi cha fedha katika process yenyewe
Muda wa kukifatilia na muda wa kukipata
Ofisi gani zitanisaidia kwa haraka na namkuta mtu wa cheo gani...