Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba.
Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo?
Kuna ustawi wa...
Kwa kipindi cha muda mrefu niliacha kutumia JF almost 1year na baadae kurudi nikawa nimesahau password yangu, changamoto ilikua kubwa zaidi pake ambapo details zangu nilizofungulia account yaani email na password pia kwa wakati huo siku kwenye matumizi navyo.
Kitu pekee nilichokua nacho kichwani...
Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code zitatumwa kwenye namba ya simu niliotumia kusajilia account nilishindwa kwasabqbu namba niliotumia...
Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku?
Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani?
Muulize mama umekula nini leo?
Muulize hayo maswali mawili halafu uone maisha ya mama yako yalivyo huko kijijini.
Halafu fanya maamuzi magumu, angalia ni...
PASSWORD (NYWILA) IMARA NI MUHIMU ILI KULINDA TAARIFA ZAKO KATIKA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI NA PROGRAMU TUMIZI
Password au Nywila imara na ya kipekee ni muhimu ili kulinda taarifa zako na programu tumizi (application) zilizopo katika vifaa vyako vya kielektroniki.
Password au Nywila ni ya kwako...
Kila siku tunasikia mijadala inayoibuka kuhusu privacy kwenye mahusiano, na swali kubwa ni hili: Je, wanandoa wa kisasa wanapaswa kupeana password za simu zao au kila mtu abaki na yake? Tuko kwenye enzi ya teknolojia, ambapo simu imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya mtu binafsi – kuna wale...
Nimeona malalamiko ya Wadau wakilalamika password zao zilibadilishwa muda mchache baada ya kuibiwa simu zao na fedha kutolewa kwenye account. Huenda mitandao ya simu hukubali maombi ya kubadilisha password kwa namna dhaifu na matapeli kutumia mwanya huo kuomba kubadilishiwa password na kuweza...
Habari za mda wadau wa jf.
Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen yake. Ni kwamba huwezi kuwasha wala kuzima kwa kutumia power button.
Kwa mda mrefu nilikuwa...
Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers imekuwa changamoto kuwapata.
Utapiga simu muda wote zinatumika, labda wanakuwa very busy kuwahudumia...
Makosa Unayofanya Unapotengeneza Neno la siri:
Kutumia Jina lako au Tarehe yako ya kuzaliwa
Kutumia Neno la Siri moja kwa akaunti zako zote
Kutumia herufi peke yake
KUMBUKA
Unapounda neno la siri, hakikisha unatumia herufi kubwa na ndogo, namba, na alama za uandishi kwa usalama zaidi.
Epuka...
Kadiri biashara zinavyozidi kuelekea kwenye majukwaa ya kidijitali, uwepo wetu mtandaoni na shughuli zetu zimekuwa muhimu kwa kazi zetu za kila siku. Pamoja na ongezeko la uhalifu wa mtandao, kulinda taarifa kutokana na ulaghai na vitisho vya mtandaoni ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Kulinda...
Habari wanajamvi! Poleni na mahangaiko ya kupambana na maisha.
Kama title inavyojieleza, naombeni msaada kwa anayeweza kunielekeza namna ya kurudisha account yangu ya Facebook ya biashara ambayo kiukweli nimesahau password yake.
Account hii niliifungua mwaka 2012 nikawa naitumia kwa malengo...
Wanasema kizuri kula na nduguyo.
Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao.
Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi.
Katika kuhangaika nikapata tool moja inaitwa wifite.
Aisee haka kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya...
Kuna rafiki yangu anasema account yake ya facebook wameibadili password na email aliyotumia kufungulia...ila anasema wahuni walianza kuingia na kupost vitu vya ajabu hapo awali kabla hawajambadilishia hizo taarifa zake.
Anaomba msaada namna ya kurudisha account yake kwani alishaizoea na ina...
WANANDOA NI LAZIMA WA-SHARE PASSWORD ZA AKAUNTI ZA BENKI NA SIMU
Anaandika, Robert Heriel
MTIBELI.
Dunia ya kitapeli huzalisha ndoa za kitapeli, Wanandoa matapeli, Watoto na kizazi cha kitapeli.
Kama mnafichiana namba za Siri za BENKI na akaunti na bado mnadanganyana ni MKE na Mume basi ninyi...
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.
Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.
1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume...
Kuvuja kwa data na mashambulizi ya mtandao yanazidi kuwa jambo la kawaida ulimwenguni. Ili kulinda kitambulisho chako mtandaoni na taarifa zako kibinafsi, ni muhimu kutengeneza nywila yako bora.
Uchunguzi wa Cybernews na National Cyber Security Centre umebainisha baadhi ya nywila ambazo sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.