Mwenye kujua password za goodvision 32" anasaidie aisee.
TV yangu ghafla toka majuzi nikiiwasha inareta message hii yani zimebaki dk 4 ijizime automatic yenyewe, nilifikiri kuifanyia system recovery lakini nilipofika hapo inadai password ambazo sijawahi kuweka na sizijui.
Msaada kwa wajuzi wa...
Nina kifaa cha WiFi asa sijui password mnanisaidiaje?
Kifaa nilikua natumia na x wangu na ndio alienipa asa nimeachana nae sijajua Kama kanibadilishia ila kifaa kanipa ninacho wakuu msaada.
Nywila (password) ni utambulisho binafsi, ambao hulinda taarifa zote katika ulimwengu wako wa kidijitali: taarifa binafsi, akaunti za benki, mitandao ya kijamii, taarifa za nyeti, picha na maudhui ya aina yoyote.
Ndiyo maana ni muhimu kuunda nywila imara ambayo ni ngumu kukisia. Hata nywila...
Utahitaji kuwa na password ili kufanya karibu kila kitu kwenye mtandao, kuanzia kuangalia barua pepe hadi benki ya mtandaoni. Na ingawa ni rahisi zaidi kutumia password fupi, ambayo ni rahisi kukumbuka, hii inaweza pia kuleta hatari kubwa kwa usalama wako wa mtandaoni. Ili kujilinda na taarif...
Habari wadau!
Kama una Laptop au Desktop umesahau Password ya user(admin) au Bios njoo tutatue tatizo.
Gharama ya kuondoa user Password without delete data ni 10,000/= tshs na Bios Password 30,000/= Tshs
Nipo Machinga Complex Karume Dsm 0718 290779
Habari za mda huu wakuu? I hope mko poaa... Sasa wakuu nlikua nme-lock folders kadhaa kwenye PC hapa, na folder hizi sijazifungua kwa mda mrefu kweli, almost two years. Leo nataka nizifungue, password zote nnazokumbuka uwa nilitumia hazitaki, na nikikataka ku-uninstall bado mzigo unadai password...
Ndugu zangu habarini za asubuhi.
Jamani nahitaji msaada jinsi ya kufuta account yangu ya FB, lakini nimesahau Pasword na nime-log out muda tu.
Nimejitahidi sana kuomba Pasword Lkn imekuwa changamoto, Ule msimbo hautumwi. Nimeomba kila siku ndani ya siku 25 lkn imeshindikana.
Hata sijui ni...
Najua kuna umuhimu mkubwa sana wa kulinda simu kwa password sio kwa WEZI tu ila kulinda data zangu pia.
Ila niwape taarifa wezi wote wa simu kwamba, mkiiba simu yangu hamtapata shida ya kwenda kuflash wala nini.
Mniibie tu
NINA UHAKIKA MKIIBA NITAIPATA TU TENA NIKIWA NIME RELAX.. UKIILETA...
Salaam Wakuu, natumai nyote mpo salama.
Nywila (Pasword) imekuwa ni sehemu muhimu ya ulinzi wa akaunti zetu za mitandao ya kijamii pamoja na vifaa vyetu vya kidijitali. Katika kuendelea kuhakikisha matumizi ya mitandao ya kijamii inakuwa salama, wataalamu wa mitandao wanahimiza kuunda password...
Sina muda, fanya hivi...
Kwanza ingia Google tengeneza Email mpya(sipaswi kukukumbusha kukumbuka password)
Rudi Google kwenye www.nbs.go.tz
Anza kujaza fomu upya,
Katika zile taarifa zako za mwanzo badilisha vitu vifuatavyo..
1.Weka email mpya,
2. Badilisha Namba ya FM4
3. Badilisha Namba ya...
Leo nilikua napitia baadhi ya website za taasisi zetu hapa nchini
moja ya taasisi kubwa tu ya IT juzi juzi hapa walifanya update ya system yao wakaongeza baadhi ya features na function mbalimbali
Kabla ya hayo maboresho, system yao ilikua moja ya website ngumu kupata loophole
Leo nimetest...
NAMNA YA KULINDA NYWILA (PASSWORD) YAKO
1) Usitumie Nywila (Password) moja kwenye kurasa zako zote za Mitandao ya Kijamii. Hakikisha kila mtandao unatumia #Password yake
2) Hakikisha Nywila yako ina jumla ya herufi/alama zisizopungua 16 au na zaidi (Mfano: M1m1$%678abc@£+#)
3) Usitumie maneno...
Habarini humu waungwana?
Kuna swala mimi linanitatiza juu ya nywira(password), Kwanini wanatusihi kuwa na nywira ngumu ikiwa Kuna uwezekano wa kuweza kudukuliwa..? Let's say mfano niweke nywira hii Kenzy1234,hii watasema ni dhaifu hivyo strong watataka iwe ya mfano huu X#@Bata52,Sasa hoja...
Hali zenu?
Jamani mwenzenu mume wangu sujawahi mchiti ila yeye nishamfumania mara kadhaa tu.
Basi na mimi nkaamua kuchat na kijana tu yupo nje ya nchi wala sipo in relationship naye ilikua tunachat mambo ya sex tu ila si mpenzi wangu wala chochote na ni mara ya kwanza kuongea na jinsia ya...
1. Ongeza ulinzi kwenye 'accounts' zako mfano 'two factor authentication
2. Usimpe mtu password yako
3. Kuwa na tabia kusasisha 'update' tovuti unazotumia na akaunti zako za mitandao ya kijamii
4. Kuwa na tabia ya kubadilisha nywila mara kwa mara