Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi
Matokeo yake Wanachama pamoja na Wananchi watapoteza imani
Lakini pia CHADEMA itapuuzwa na CCM pale itakapokuwa ikiwanyooshea kidole kwa madai...
Hawa ni changamoto sana.
Timu ikishinda goli chache inatupiwa lawama kuwa kiwango kimeshuka.
Timu ikishinda goli nyingi wale wa upinzani wanasema timu iliyoshinda imenunua mechi na wachezaji.
Timu zao zikishindwa wanatokwa maneno hatari. Wiki nzima mtu atalaumu hatari. Kila mtu anajifanya...
Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1.
Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
Hapa nipo na msongo wa mawazo, bora nilivokuwa single nilikuwa nina furaha.
Bora hata angenisaliti ningejua cha kufanya(ningeachana nae), ila makosa anayofanya ni madogomadogo ila ni mengi na yanakera sana.
Hivi mtu anategemeaje ufanye kitu ambacho hujamwambia??
Wanawake eleweni kwamba...
Haya Sasa tujuane wewe kama mwanaume upo namba ngapi au Huwa una react vip I babe wako akikuomba pesa ya Kodi. Na we mwanamke mwanaume wako ulonaye yupo namba ngapi?
"Babe sijalipa Kodi"
1. REAL MEN: "Nitumie namba nilipe ya miezi mitatu
2. A COW: "Utalipa tu usijali"
3. A DOG: "kwani unalipaga...
Guys ninaomba ushauri,
Nina mwanamke wangu nilikuwanaye kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpaka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu bila kupata kazi.
Wakati huo yeye alikuwa na kazi anauza duka la cosmetics la mtu. Nilikuwa sina hela mwanamke alinivumilia sana ingawa hela yake...
Habari wapendwa. Ni wazi dunia inapigana kuhakikisha gari za umeme ndio zinatawala kwa hoja ya kuwa rafiki na mazingira. Licha ya yote bado hizi gari ni changamoto hasa inapopata damage.
Tuchukue mfano kesi ya hivi karibuni huko Vancouver, mmiliki wa Hyundai Ioniq 5 ya mwaka 2022 alipata ajali...
Habari za ijumaa wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.
Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.
Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu niliokuwa nao japo tupo...
Degree yake ya kwenye CV inayoonyesha kasomea chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani ilizua maswali, wananchi wakatuma maombi Marekani kutaka kujiridhisha elimu ya Rais wao.
Wamarekani wapo Direct, siku ya jana Jaji wa Marekani aliamuru taarifa za uhalali wa cheti zitolewe leo na imebainika...
Ilikuwa majira ya kiangazi saa Saba mchana, mbingu ilionekana na uhaba mkubwa wa mawingu hali iliyopelekea jua kuwa Kali sana kuliko ilivyozoeleka. Joto lilikuwa Kali sana kiasi ya kwamba Machinga walio kuwa kando mwa barabara wakijitafutia riziki zao waliloa kwa jasho lililokuwa likiwatiririka...
Yan mda wote anataka akuone ndani Kama msukule vile, wanawake nani aliewadanganya kuwa mwanaume anachungwa kama mbuzi?
Nimeaga nna appointment na wanachama wenzangu imekuwa nongwa, kavuta mdomo balaa.
Ukitoa taarifa tabu, usipotoa taarifa ndo Vita kabisa ya urusi na Ukraine dah.
No body is...
Kuna nini kimejificha nyuma ya kifo cha huyu Binti?? Anadaiwa kufariki tarehe 29/04/2023 ila taarifa zimeanza kuzagaa Leo kwenye social media. Kuna maswali mengi kama haya....
Haya maswali yamechukuliwa sehemu nyingine, sio yangu.
Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar-
iki...
Samaleko...
Hiki nacho ni moja ya visa vyangu kwenye harakati zangu za kumpata mtoto wa mama mkwe.
Kuna ka binti nilikutana nako miezi kama mitatu iliyopita. Siku ya kwanza tu nakaona nilipokasalimia tu, kalinichangamkia sana. Kakaniambia "ni kama nakuonaga maeneo flan" na ni kweli ndio maeneo...
Kusema kweli sikuwahi kuzungumzia maisha yangu humu JF hususani mambo ya ndoa ila naomba nishare nanyi hili jambo.
Niliwahi kuwa na ndoa ya kwanza lakini mke wangu wa kwanza alikuwa pasua kichwa balaa, ana gubu, kiburi, na mdomo sana, ilikuwa inafika mahali naona hata sio busara kurudi nyumbani...
Wanafunzi wamekuwa wakimlalamikia juu ya ufundishaji wake wa somo la TEHAMA kuwa ni msumbufu. Nikiongea na mwanafunzi ambae alikataa kutaja jina lake na level (Mwaka wa masomo) alisema Mwakalonge anatufundisha somo la TEHAMA(information and communication Technology).
Katika muhula huu wa...
MiG-31, ambayo ilifanya majaribio yake ya kwanza mnamo 1975, bado inawatia wasiwasi wataalamu wa kijeshi wa Western Military Watch imeripoti.
Urusi haikuwahi kuza ndege hii, ndiyo sababu nchi za Western hazijaweza kufichua siri za MiG-31.
Ndege ambayo technology yake ya kisasa zaidi, kwa...
Mzuka Wanajamvi!
Sasa hivi kuna mtifuano ndani ya chama cha Republican. Trump na gengeelake wanamnyooshea kidole senator minority mitch McConnell eti ndie amesasababisha Republican kufanya vibaya na kuifanya Democrats kuchukua senate.
Lakini ikumbukwe huyuhuyu Mitch McConnell alitahadharisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.