Nina mpango baada ya miaka mitatu nione, nipo kwenye mahusiano na msichana flani hivi ambao kabila lao linasfika kwa viburi, ana umbo na ni mzuri kiasi.
Picha linaanza anapenda sana kula na mm napenda mtu anaependa kula na namjali kwa kula mpaka ndugu zao wanasema kanenepa, ata mm ninae...