Patience Dabany akiwa stejini
Tofauti na ma-First Lady wengine wanaostaafu na kuweka miguu juu na kuishi maisha kama ya ikulu nje ya ikulu, Patience yeye anaishi ndoto zake kama mwanamuziki.
Patience Marie Josephine Kama Dabany alizaliwa 22 Januari 1944. Dabany aliwahi kuwa First Lady wa Gabon...