===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania lazima wafahamu kesho ya Tanzània yao ni bora kama tu hali ya Umoja na mshikamamo iliyopo Sasa itaendelea kuwa ilivyo leo.
David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana...
Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa, kulingana na uwekezaji wa 46% pato la taifa lilipaswa kukuwa kwa nusu yake ambayo ni 23% lakini uchumi umekua kwa wastani wa asilimia 5.7 tu.
Kwa miaka minne...
YAJAYO YANAFURAHISHA SANA
Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa X zamani tweeter,
Kafulila akiifafanua Dira ya Maendeleo ya Taifa la Tanzània ya 2025- 2050 amesema yafuatayo,
1. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu kuwa...
Ama kweli hali ni ngumu duniani kote. Si tu kwa nchi yetu Tanzania, hata dunia kwa ujumla
Shida sio faini waliotandikwa google, tatizo limeanzia kwenye Pato la Taifa la Dunia
Pato la Taifa la Afrika linafikia dola trilioni 2.8 mwaka 2024, pato la kiuchumi la watu bilioni 1.4. Lakini sio tija yote hiyo inasambazwa kwa usawa.
Ramani hii inaangazia nchi tano ambazo pato lao la kiuchumi kwa pamoja ni sawa na lile la bara zima. Data imetolewa kutoka Shirika la Fedha la...
Kahawa imekuwa zao muhimu la biashara nchini Tanzania kwa zaidi ya karne moja, ikichangia kwa kiwango kikubwa uchumi wa taifa na ustawi wa wakulima wadogo.
Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, mabadiliko makubwa yameonekana kwenye sekta hii, ambayo yamebadilisha maisha ya wakulima wa...
Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa
Tangu kuingia madarakani kwa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwaka 2021 kumekuwa na ongezeko la 3.6% ambapo mwanzoni mwa mwaka 2021 ilikuwa 7.3% na kwasasa 2024 ni 10.9%.
Ongezeko la Masoko a Vituo vya Ununuzi wa Madini
Kutokea mwaka...
Uchukuzi na teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) ni muhimu Sana kwa usatawi wa nchi ya Tanzania kwa kuchangia Pato la Taifa. Uchukuzi hujumuisha bahari(bandari), usafirishaji wa anga, barabara na reli. TEHAMA hujumuisha matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano ikiwemo mitandao ya...
Inashangaza sana kuwa na taifa ambalo lina kila aina rasilimali ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kuwa na taifa ambalo lina pato kubwa la taifa.
Fikiria madini ya almasi, dhahabu, ruby au Tanzanite yakivunwa vyema na kisha kuuzwa taifa letu litanufaika na kuwa na pato kubwa.
Hivi hii nchi...
TANZANIA IJAYO ISAIDIA WATANZANIA KUPATA KAZI NJE YA NCHI ILI KUKUZA PATO LA TAIFA.
Diaspora ni moja ya wachangiaji wakubwa sana wa GDP ya nchi zingine hapa Duniani, Kenya wana kitengo ndani ya wizara ya mambo ya nje kinachowatafutia Wakenya kazi nje ya nchi ziwe za kuduma au za muda mfupi, hii...
SEKTA YA UJENZI YACHANGIA ASILIMIA 14 PATO LA TAIFA
Sekta ya Ujenzi imekuwa ikikua kwa wastani wa asilimia 12 kwa mwaka kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita.
Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
Inasikitisha sana.
Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana.
Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu.
Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei.
Cha...
Mbunge Kavejuru Felix: Biashara ya Kaboni katika Misitu ya Asili/Kupanda Imechangia kiasi gani kwenye Pato la Taifa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali inatarajia kupata wastani wa shilingi trilioni 2.4 kutokana na biashara ya...
Kampuni ya METL inachangia 3.5% ya pato lote la Taifa Tanzania huku ikiajiri 1.95% ya watu wote walioajiriwa rasmi kwenye sekta binafsi.
METL ilianzishwa na Gulam Dewji mwaka 1970 huku kwa miaka 16 thamani yake ikikua kwa zaidi ya mara 50 mafanikio ambayo sehemu kubwa yalikuwa chani ya mtoto...
Kwa mujibu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 zenye Madeni Madogo yakilinganishwa kwa Asilimia ya Pato la Taifa (GDP).
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kuwa na matukio ya ukosefu wa Usalama katika baadhi ya maeneo ya Nchi yanayosababishwa na...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema katika bajeti ya mwaka 2024/25 mpango wa Serikali kupitia Wizara yake ni kuendelea kutenga kiasi kikubwa cha fedha katika sekta ya uvuvi ili kuiwezesha kuchangia katika Pato la Taifa kwa Asilimia 10 ifikapo mwaka 2030.
Waziri Ulega amesema...
Hatua hiyo inataokana na mikakati mbalimbali ikiwemo kufanya mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010, yaliyotekelezwa mwaka 2017, hivyo kuundwa Tume ya Madini.
-
Mikakati hiyo imebainishwa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba alipozungumza na waandishi wa habari...
Imagine taifa halina hata rasilimali, sehemu kubwa ni jangwa, mashambulizi mara kwa mara lakini bado uchumi wao ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki.
Pato la taifa ni Dola bilioni 500+ sawa na shilingi zetu trilioni 1,250, Naomba nieleweke kwamba kiasi hiki hakihusisiani na chochote...
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imetimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake July 01, 2003 ambapo imesema ndani ya miaka hiyo imefanikiwa kuchangia pato la Taifa kufikia Tsh. bilioni 170.43 kwa mwaka, kuongeza ajira kwa vijana na kuvutia uwekezaji wa kampuni 67 za kitaifa na...
Ukuaji wa Pato la Taifa kupitia Sekta ya Bima Nchini inatajwa kukua kwa kipindi cha miaka mitano ambapo mauzo ghafi ya Bima yameongezeka hadi kufikia Trilioni 1.2, ukilinganisha na ongezeko la shilingi Bilioni 691.9, mwaka 2018.
Akitoa ufafanuzi wa ongezeko hilo, Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka...