Jino la waziri Mkuu wa kwanza wa Congo limeibiwa jijini Kinshasa. Ikumbukwe waziri Mkuu Patrice Emilio Lumumba aliuliwa mwaka 1961 na Mwili wake kuyeyushwa kwenye tindikali.
Ilivyo bahati mmoja wa wauaji Askari Mbeligiji aliliondoa jino lake kwa siri bila kumfahamisha mtu yeyote. Baadae...