patrick aussems

Patrick Aussems (born 6 February 1965 in Moelingen, Belgium) is a former Belgian footballer and manager.

View More On Wikipedia.org
  1. Patrick Aussems: Wamiliki wa Singida Black Stars hupangia makocha vikosi vya kuchezesha

    Mimi sio mtu wa kupangiwa unapaswa kufanya hiki kwa wakati gani kwasababu uliniajiri ili nifundishe sasa kwanini unipangie cha kufanya? Kwasasa nafahamu sio kocha anaendaa kikosi cha kwanza hilo nafahamu wazi kwa kocha mahiri aliyeifanya kazi yake kwa muda mrefu ni ngumu kukubaliana na hiyo...
  2. Tetesi: Patrick Aussems almaarufu Uchebe aonekana ofisi za GSM

    Haijajulikana amefuata nini. Ila watu wachawi sana,mmemsagia kunguni mwenzenu kuwa hafiki pasaka na hajafika kweli ilaCV yake imeboreahwa Soma Pia: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi
  3. Tetesi: Yanga wajutia kuwapa mkataba Sead Ramovic na Moallin,waanza mazungumzo na Patrick Aussems aliyetimuliwa Singida Big Stars

    Wameyatimba, Walimpa mkataba usiku usiku Moalin wa KMC na kuwa mkurugenzi wa ufundi, wakampa mkataba Said Ramo kuwakocha mkuu ,ndani ya muda mfupi Auasems au Uchebe anatimuliwa Singida Big Stars. Waneanza mazungumzo nae,si ajabu mmoja wao akavunjiwa mkataba as soon as possible kumpisha uchebe
  4. Singida Black Stars Yamuachisha kazi kocha wake Patrick Aussems na Msaidizi Denis Kitambi

    Patrick Aussems na Denis Kitambi Waliwa kichwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…