patrick mfugale

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia: Tuache alama ili nchi yetu ipate maendeleo ya haraka

    Je tutaacha alama hapa duniani pale muda wetu wa kuishi kulingana na wito na kusudi la kuwepo kwetu hapa duniani utakapokuwa umefikia ukomo? "Haijalishi umeishi miaka mingapi bali umeweka alama gani katika miaka uliyoishi" ni moja ya mstari ambao huwa tunausikia katika misiba na mafundisho...
  2. Waziri Chamurilo: Familia(Mfugale) wameonesha sintofahamu (ombwe) kwamba ilikuwa haifahamu, Mhandisi Mfugale alisema anajisikia vibaya kikaoni

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamurilo: Poleni sana kwa kumpoteza Injinia Patrick Aron Mfugale, mheshimiwa Rais tumesikia maelezo mengi yametolewa kuhusu elimu na ajira ya marehemu, tumesikia vilivile kuhusu mchango wake wa kitaalamu, tumesikia vilevile kuhusu tuzo mbalimbali...
  3. Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

    Erasto Mfugale: Kusema kweli hatukuwa tumepata taarifa dhahiri hata imetokea nini kwasababu mimi Jumapili iliyopita nilikuwa kwake Temboni, nimekuwa na mazungumzo naye mpaka saa saba usiku lakini akaniambia kesho nina kikao kidogo kule Dodoma, kwahiyo nitatoka na ndege ya mchana. Nikamuaga...
  4. Pendekezo: Eng. Kakoko amrithi Patrick Mfugale

    Ukiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri...
  5. B

    TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS. Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP ===== Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma. Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…