Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoani Iringa kimewataka Wananchi kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa wenye uwezo watakaofanya shughuli za kijamii bila itikadi cha siasa.
Hayo yamezungumzwa na mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Patrick Ole Sosopi katika Muendelezo wa kampeni za...