Nimemsikia GB64 akitangaza mitandaoni kuwa wachezaji Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu, ina maana Patrick Simon hazioni clips hizi?
Kama sio kweli anachosema GB64 kuhusu Yanga kwanini hafunguliwi mashtaka mahakamani kwa kuharibu brand ya Yanga?
Akina Magoma walifungua na kuendesha kesi...