paul makonda arusha

Paul Christian Makonda (born 15 February 1982) is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution. He would later become more prominent in politics , first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
In 2017, Makonda staged war against the LGBTQ community in Dar es Salaam an act that was condemned by human rights groups. Despite all this, his political approach was praised by some for it’s accomplishments such as his crackdown on prostitution activities, tackling the street urchin situation but also initiating a financial aid program to support single and neglected young mothers.
During the height of the COVID-19 pandemic in Tanzania,Makonda believed the disease had been eradicated through national prayer echoing the rhetoric of the former president despite all evidence suggesting the contrary
.
In 2024 Makonda was appointed Regional Commissioner for Arusha region by H.E Samia Suluhu Hassan.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    Paul Makonda: Nawaonya wafanyabiashara wa Arusha msipandishe bei za bidhaa kwa kigezo cha mwezi wa Ramadhan

    Wakuu, Drama za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda zinaendelea. Hivi karibuni amesema kuwa kwa Arusha ni marufuku kwa wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa mkoani Arusha "Katika mkoa huu ni marufuku Wafanyabishara kupandisha bei ya bidhaa kwa mwezi huu wa ramadhani"
  2. Mindyou

    Arusha: Makonda awapa maua wananchi waliompitisha diwani kwenye dimbwi la maji machafu

    Wakuu, Hivi karibuni kulikuwa na video inayotembea mtandaoni ikiwaonesha wananchi wa Arusha wakimtembeza diwani wao kwenye dimbwi la maji machafu. Akiongea hivi karibuni, Makonda amewapongeza wananchi kwa kumuwajibisha diwani huyo.
  3. Mindyou

    Pre GE2025 Paul Makonda: Arusha hawakupata barabara kwa muda mrefu kwa sababu waliendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara!

    Wakuu, Makonda ameendelea kutoa spana huko Arusha baada ya kusema kuwa wakazi wa mkoa wa Arusha kwa muda mrefu kwa sababu walikuwa wanaendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara. Kauli hii inakuja baada ya Waziri wa TAMISEMI kufanya ziara mkoani hapo leo October 4.2024 na ndipo mkuu huyo wa...
  4. Mindyou

    Huyu Nabii Geordavie ana utajiri kiasi gani? Ampa Paul Makonda Land Rover zaidi ya 10 huko jijini Arusha!

    Wakuu, Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival. Swali langu, tuseme at the cheapest price kila...
  5. Lanlady

    Makonda anaandaliwa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana hapa nchini?

    Sio maneno yangu. Ni mazungumzo ya raia wema waliokuwa wakijadili kuhusu utendaji kazi wa mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Paul Makonda. Mmoja wa wananzengo hao alisema, "wenzetu wamepata mkuu wa mkoa, sijui kwanini wa kwetu hawaigi kutoka kwake? Angalia jinsi anavyotatua kero za raia. Hivi kwanini...
  6. Influenza

    RC Makonda: Anayemjua mwizi aje ofisini kwangu kusema, nitampa laki moja

    Ili kuendelea kupinga vitendo vya uvunjifu wa amani mkoani Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amewaahidi wananchi wa mkoa huo hususani Bodaboda kuwa yeyote anayemjua mwizi na mwenye viashiria vya wizi basi akifika katika ofisi yake (yaani ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha) atapatiwa Tsh...
  7. GoldDhahabu

    Makonda anafanya kazi nzuri, ila awe makini na kinywa chake

    Madudu anayoyaibua yanawaumbua watangulizi wake na hata "maRC"wa mikoa mingine. Kwa sasa anajulikana nchi nzima, lakini kuna watu hawayajui hata majina ya wakuu wa mikoa yao. Mbali na kuwa anayoyafanya yana maslahi kwa umma, si wote, hasa watawala wenzake, watakaomfurahia. Naamini naye ana...
  8. G.T.L

    Kwa yanayoendelea Arusha na RC Makonda, ni dhahiri watumishi wa umma wengi ni wazembe na hawana sifa!

    Wasaalam. Ni declee interest na mimi ni Mtumishi wa Umma. Hili swala linaloendelea Arusha likiratibiwa na RC wa Arusha ni uthibitisho tosha sisi watumishi wa umma wengi wetu tuko Incompetent, Wazembe na Uadilifu uko chini. Pamoja na wengi wanasema haya ni maigizo ya RC lakini emu chukua muda...
  9. M

    Ni maendeleo gani Makonda aliyoyafanya akiwa mkuu wa mkoa wa DSM?

    Wadau nawasalimu. Kumekuwa na Matumaini Makubwa ya baadhi ya Wananchi kuwa Ujio wa Bw.Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kutaubadilisha Mkoa wa ARUSHA na kuwa kama Mji wa DUBAI. Matarajio hayo sijui msingi wake ni nini kwa hao Wananchi au ni Ushabiki na Uchawa wa wananchi ambao ni kama...
Back
Top Bottom