paul pogba

Paul Labile Pogba (born 15 March 1993) is a French professional footballer who plays for Premier League club Manchester United and the France national team. He operates primarily as a central midfielder, but can also be deployed as an attacking midfielder, defensive midfielder and deep-lying playmaker.Born in Lagny-sur-Marne, Pogba joined the youth team of Ligue 1 side Le Havre in 2007, before a protracted transfer brought him to Manchester United two years later. After beginning his senior career with Manchester United two years later, limited appearances persuaded him to depart to join Italian side Juventus on a free transfer in 2012, where he helped the club to four consecutive Serie A titles, as well as two Coppa Italia and two Supercoppa Italiana titles. During his time in Italy, Pogba further established himself as one of the most promising young players in the world and received the Golden Boy award in 2013, followed by the Bravo Award in 2014. In 2016, Pogba was named to the 2015 UEFA Team of the Year, as well as the 2015 FIFA FIFPro World XI, after helping Juventus to the 2015 UEFA Champions League Final, their first in 12 years.
Pogba's performances at Juventus led to him returning to Manchester United in 2016 for a then-world record transfer fee of €105 million (Β£89.3 million). The fee paid for him remains the highest paid by an English club. In his first season back, he won the League Cup and the Europa League. In the 2018–19 season, he was named to the PFA Team of the Year.
Internationally, Pogba captained France to victory at the 2013 FIFA U-20 World Cup and took home the award for the Best Player for his performances during the tournament. He made his debut for the senior team a year later and featured prominently at the 2014 FIFA World Cup, where he was awarded the Best Young Player Award for his performances. He later represented his nation at UEFA Euro 2016 on home soil, where he finished as a runner-up, before winning the 2018 FIFA World Cup, scoring in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. Kifungo Cha Paul Pogba Kimepunguzwa, Atarajiwa Kurudi Uwanjani Machi 2025

    Kifungo cha miaka minne cha Paul Pogba kutojihusisha na soka baada ya kudaiwa kutumia dawa za kusisimua misuli kinyume na taratibu za soka, kimepunguzwa hadi miezi 18 baada ya kufanikiwa kukata rufaa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo. Pogba sasa ataweza kurejea tena kuichezea Juventus...
  2. Je, ndio mwisho wa Paul Pogba kisoka? Afungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 4 kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli

    Paul Pogba ambaye atatimiza umri wa miaka 31 mwezi Machi mwaka huu amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Mpaka adhabu yake iishe atakuwa ametimiza umri wa miaka 35, umri ambao wachezaji wengi wanatundika daluga. Mchezaji huyo mwenye...
  3. Paul Pogba asimamishwa kucheza kwa kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli

    Kiungo wa timu ya Juventus, Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 30, amesimamishwa kucheza kandanda kwa muda baada ya kukutwa na kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli. Uamuzi huo umechukuliwa na Mahakama ya Kitaifa ya Italia yenye dhima ya kupambana na matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini...
  4. Nini kimemkuta Paul Pogba?

    Paul Pogba ni mmoja ya wachezaji waliotarajiwa makubwa wakati akiwa anakua. Alitajwa kuwa na kipaji kikubwa na uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo. Akatoka Man Utd baada ya kukosa nafasi akaenda zake Juventus na kukiwasha. Baada ya misimu kadhaa akarudi zake Man Utd kwa usajili wa rekodi ya...
  5. Ni ipi future na nafasi ya Paul Pogba Juve

    Hembu tuone mm naona atapotea. Huyu fundi Kwa Umri wake angesalia united na ujio wa mafundi wengine pale OT si haba angefanya jambo. Watu kama casemiro, Antony, malacia anavyopambana dhahiri uwepo wa Erickson lazima Pogba angeonesha fundi pale kwenye namba nane
  6. Mathias Pogba ashtakiwa kwa utapeli dhidi ya Paul Pogba

    Uamuzi huu umekuja ikiwa ni siku chache tangu Mathias Pogba akamatwe kwa kuhusishwa na utapeli dhidi ya ndugu yake Paul Pogba. Ataendelea kuwa mahabusu akisubiri uamuzi wa Mahakama kuhusu dhamana yake. Taarifa za Mahakama zimesema watu wengine wanne pia wamewekwa chini ya uchunguzi rasmi kwa...
  7. M

    Waliokulia udogoni na Paul Pogba walazimisha awalipe fadhila

    Mzuka wanajamvi! Genge la vijana waliokulia udogoni na kiungo wa zamani wa Manchester united na Sasa mchezaji wa Juventus Italia wanadai fadhila ya kulipwa hela na Paul Pogba kwa nguvu. Marafiki hao wa Pogba Toka udogoni waliokulia viungani mjini Paris wanadai Pogba kawasahau. Wamekumbusha...
  8. Majanga! Majeraha kumuweka nje Paul Pogba hadi 2023

    Kiungo wa Juventus, Paul Pogba anaweza kuikosa michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakayofanyika Nchini Qatar kutokana na kupata jeraha la goti alilopata katika mazoezi. Pogba amesitisha kuwepo katika kambi ya timu hiyo kwa ajili ya kwenda kuona wataalam na kuna uwezekano wa kufanyiwa upasuaji...
  9. Mino Raiola Ana hali mbaya, ni wakala wa Pogba, Zlatan, Lukaku, Haaland, Balotelli

    BREAKING NEWS: Italian football agent Mino Raiola died after illness. He was agent of Ibrahimovic, Pogba, Haaland etc 🚨 Football agent Mino Raiola has passed away according to the Italian media. πŸ™πŸ˜” Taarifa Kadhaa huko Ulaya zinaripoti kifo cha wakala maarufu Raia wa Italia na Uholanzi Mino...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…