Binti ni mzuri kweli mimi kama mwanaume rijali nakubali hilo bila kupinga.
Lkn kitendo cha kupost picha zake yuko uchi hii ni kinyume na maadili yetu na tamaduni zetu watanzania.
Naomba mamlaka husika zikomeshe tabia hii maana ni indicator tosha kuwa tupo kwenye mmomonyoko mkubwa wa maadili na...
Mapenzi siyataki tena,'Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny
Rayvanny ni msanii wa Bongo aliyesajiliwa chini ya WCB Wasafi. Yeye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Next Level music.
Rayvanny aliachana na mpenzi wake na mama wa mtoto wake Fahyma mapema mwaka huu .
Alianza...
Watanzania adui yetu mkubwa kwa sasa ameongezeka.
Wakati wa Nyerere ilikuwa umaskini, magonjwa na ujinga.
Kwa sasa adui yetu mkubwa ni
1. Wivu
2. Chuki
3. Unafki
Ukikaa chini ukatafakari kinachowafanya watu wapige kelele za Paula na maisha yake ni hao maadui wapya watatu.
Maana hakuna kipya...
Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi.
Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde.
Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani ikiwa ni masaa machache tu yamepita tangu Paula amesaini dili NONO la kutangaza nywele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.