paula kajala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sijafurahishwa na kitendo cha Paula Kajala

    Binti ni mzuri kweli mimi kama mwanaume rijali nakubali hilo bila kupinga. Lkn kitendo cha kupost picha zake yuko uchi hii ni kinyume na maadili yetu na tamaduni zetu watanzania. Naomba mamlaka husika zikomeshe tabia hii maana ni indicator tosha kuwa tupo kwenye mmomonyoko mkubwa wa maadili na...
  2. Tetesi: Mapenzi siyataki tena Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny

    Mapenzi siyataki tena,'Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny Rayvanny ni msanii wa Bongo aliyesajiliwa chini ya WCB Wasafi. Yeye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Next Level music. Rayvanny aliachana na mpenzi wake na mama wa mtoto wake Fahyma mapema mwaka huu . Alianza...
  3. Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

    Bongo nyoso kweliiii. Hawa ndio mastaa wetu ambao tunasema ni vioo vya jamii. Lakini their life is fake to the ground...
  4. Asilimia 99 ya wanaomshambulia Paula wamejaa unafiki, chuki na wivu

    Watanzania adui yetu mkubwa kwa sasa ameongezeka. Wakati wa Nyerere ilikuwa umaskini, magonjwa na ujinga. Kwa sasa adui yetu mkubwa ni 1. Wivu 2. Chuki 3. Unafki Ukikaa chini ukatafakari kinachowafanya watu wapige kelele za Paula na maisha yake ni hao maadui wapya watatu. Maana hakuna kipya...
  5. Jinsi Rayvanny na Paula walivyoisimamisha nchi

    Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi. Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde. Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani ikiwa ni masaa machache tu yamepita tangu Paula amesaini dili NONO la kutangaza nywele.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…