Siku ya jumanne tarehe 28 Paula mtoto wa Pfunky na Kajala ameachana na ukapera rasmi baada ya kufunga Ndoa na raia wa Nigeria ambae anaishi Dubai anayeitwa Ally.
Mungu amtangulie maana shule ilimshinda mapema kabisaa mwanetu nadhani kwenye Ndoa atatulia Sasa na Bora ameachana na drama za...