Msanii Pauline Zongo maarufu kwa vibao kama nitakufaje na sister sister akitamba na kina GK, AY na MwanaFA wakiwa East Coast alikumbwa na kadhia ya madawa japokuwa nyakati hizo alikana na kusikitika kusemwa anatumia. Safari yake iliishia sober house na sasa ameimarika na kupendeza, sio Zongo...