E banae katika pitapita zangu YouTube nimekutana na ngoma moja ya Kokoriko ya jamaa anaitwa Paw Fum nikaichukulia poa badae nika download nikaeka kwenye bufa ebana ngoma inakita sio poa.
Kwa wale DJ's wa Pub hii itakuwa nzuri kwenu kwasababu ina amsha amsha flani hivi inapandisha mizuka...
Tanzania yapata Mwanamuziki Mpya.
Hayo yametokea hivi karibuni baada ya Mwanamziki huyo Paw Sixs wa miondoko ya Pop kuachilia kibao chake cha "Ooh"
Sasa unaweza kusikiliza kibao chake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.